Dodoma: Serikali yasitisha mradi wa ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati unaopita kata ya Nkuhungu

Tunafanya kazi ndomana tumewazidi mtwara japo tupo jangwani na nyie mpo kwenye neema zote lakini hamtupati
Acha upuuz wewe, tofauti na serikali mlikuwa na nini hapo???? kinachowabeba na serikali kuhmia hapo
 
we acha tu
 

White elephant project wewe goigoi hivi kile kilichojengwa pale tazara unakuerewa kweri
 
Acha upuuzi wako. Kila mkoa ni nyumbani kwa Mtanzania yoyote anayetaka kuishi, wala haihitaji passport au visa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.
nani kakwambia? waulize wamakonde pamoja nchi hii sio yao wana wimbo kila mtu anakwao! huo mji wa wamatumbi nyinyi kaeni tu
 
Mleta mada hili bandiko si kweli, mbona watu wanafidiwa ili kazi ianze ?
jana jioni nimeifuatilia ni kweli watu wanalipwa ila inawezekana kwa hiyo sehemu ya nkuhungu ndiyo haitahusika kuna uwezekano wamefanya marekebisho.
nilikuwa na mtu mmoja anayefuatilia huo mradi kwa ukaribu wizara mmoja hivi akanijibu hivyo .
kwa hiyo ipo ila Nkuhungu labda haitapita.
 
soma.barua vizuri hapo chini,inasema kusitisha ujenzi wa barabara ya mzunguko wa kati(middle ringroad).barua haijasema kuchepusha plan ya awali ya barabara!
 
Hapo nadhani ilio ondolewa ni middle ring road ambayo ni ile ring road ya kati. Outer ring road ambayo ndio ya muhimu zaidi na ambayo itakua funded na ADB bado ipo kwenye plan. Na outer ring road ndio muhimu zaidi ku route big trucks traffic ya zile njia nne kubwa kutoka nnje ya jiji bila ya kuingia Dodoma city center
 
Ndo tunahoji,kwa nn waiondoe!?,kpnd Wana iplan hii barabara naamini waliona umuhimu wa kuweka hii barabara mapema.
 
Middle ring road haukua siyo katika miradi ya kimkakati ulikua ni mradi wa kupendezeqha mji wa dodoma. Mradi wa kimkakati ni Dodoma city outer ring road ambao anaendelea na ujenzi.

Tujifunze kutafuta habari kwa kina siyo kutoa povu tu kujifanya tunajua kuliko raisi.
 
DODOMA pabaya huwezi kupafanya pawe pazuri kwanza mkoa gani upo upo tu umepauka vile. Hiyo Miradi bora wapeleke Mtwara maana tutanufaika na gas na Samak,dagaa,korosho . Damn Dodoma
IPO hivi kwa kuwa chetu cha Msalato na Outer tumepewa Sasa wajenge wasijenge sawa TU!
 
Huu mradi vipi nilisikia same ukancel haupo tena? Tupe data wadau wa Dodoma kama unaendelea
 
Mbona yule alosema Rais yupo ikulu anachapa kazi kasema huo mradi haupo
 
Baada ya miaka 50 ijayo ndo watajua wazo la Magufuli lilikuwa Viable au not viable. Maana hata Nyelele enzi hizo wengi hawakumuelewa.
 
Huu mradi vipi nilisikia same ukancel haupo tena? Tupe data wadau wa Dodoma kama unaendelea
Ujenge Barabara ambayo haina Manufaaa kwa sifa tu kama Daraja la Tanzanite ili Wagogo wapitishe Mbuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…