Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka atazungumza na vyombo vya habari siku ya leo tarehe 22/06/2021 katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi jijini Dodoma.
Ikumbukwe kwamba mchana wa leo Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Hassan Suluhu imefanya kikao katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Convention Center) jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kikao cha kawaida cha kikatiba cha Kamati Kuu.