Baraka Mina
JF-Expert Member
- Sep 3, 2020
- 586
- 590
Mkuu nakuona nakuona 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Kazi iendeleeMndeme anaanza kunawiri na kupendeza sasa.
Ndiyo, anateuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.Katibu wa vijana anateuliwa na KK
Anaongoza kwa mfano.Mama kapendeza hatarii
Alikuwa mtulivuIla Mama Samia enzi za usichana wake sijui alikuaje? ana mikogo hatari,sema tu jina la "pisi kali" halina hadhi kwake👌
Ni wajibu wake kupeleka taarifa kwa umma wa watanzania.Hicho kikao ni ushahidi tu maamuzi yameshafanyika kabla ya kikao!!Hapo Shaka anaenda kutekeleza maagizo tu aliyopewa!!!
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM Taifa - Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka atazungumza na vyombo vya habari siku ya leo tarehe 22/06/2021 katika ofisi za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi jijini Dodoma.
Ikumbukwe kwamba mchana wa leo Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Hassan Suluhu imefanya kikao katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete (Jakaya Kikwete Convention Center) jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kikao cha kawaida cha kikatiba cha Kamati Kuu.
View attachment 1826565
View attachment 1826558View attachment 1826559View attachment 1826560
View attachment 1826557
Sijui kama ataongea la maana,Mara nyingi ana kauli za hovyoNi wajibu wake kupeleka taarifa kwa umma wa watanzania.
Ameshaongea na waandishi wa habari. Ndg. Kenani Kihongosi ameteuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM.Sijui kama ataongea la maana,Mara nyingi ana kauli za hovyo
Kuna namna mbalimbali za kujikinga kama kutumia vipukusi (sanitizers)Kwa barakoa hizi uhuru stadium kutatusamehe kwa muda.
Kuna namna mbalimbali za kujikinga kama kutumia vipukusi (sanitizers)
Asante kwa tarifaAmeshaongea na waandishi wa habari. Ndg. Kenani Kihongosi ameteuliwa na Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM.
Mkorogo wa Songea ulimkataa kabisa.Mndeme anaanza kunawiri na kupendeza sasa.