LGE2024 Dodoma: Sielewi mtu anawezaje kuangalia hizi picha zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram na bado akaipigia kura CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini.

Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na Wananchi wa Vitongoji vya Eshkesh na Getakul Kata ya Itaswi Wilaya ya Kondoa.


Kama mnavyoona hapo hao ni wazee ambao ukiwaangalia tu usoni hawana hata nuru. Wamechoka kuanzia nguo zao mpaka pozi zao kwenye picha.


Yaaani you can tell kabisa hali za wananchi huko Kondoa ni mbaya mno. Na of course CCM wamekuja tu hapo for sometime then watakutana na hao wazee watawashawishi wawapigie kura then ndo byebye.


Yaani kweli miaka 60 baada ya uhuru still bado CCM mnafanya kampeni chini ya miti? Na bado mnataka kura za wananchi?


Hivi Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable mnateteaga nini? Mnapatagaje usingizi usiku wakuu?
 
Na hapo ni makao makuu ya nchi
Washington DCπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Je ukizama meatu uko ndani unakuta mzee toka anazaliwa mpaka anazeeka hajawai vaa ndala au kiatu mguuni mwake na anachagua CCM

Wape ujinga,wagawe na watawale !!!
 
Elimu ya shule za kata bado haijawasaidia wananchi wengi kujikomboa.
Na hapo ni makao makuu ya nchi
Washington DCπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Je ukiza meatu uko ndani unakuta mzee toka anazaliwa mpaka anazeeka hajawai vaa ndala au kiatu mguuni mwake na anachagua CCM

Wape ujinga,wagawe na watawale !!!
Sisiemu inaongoza wajinga
 

Attachments

  • IMG_3824.jpeg
    50.6 KB · Views: 3
  • 5781825-51775523b226d8414338068b2d50cfec.mp4
    3 MB
Usimsahau kumtag chawa lia lia Tlaatlaah πŸ˜…
 
Usimsahau kumtag chawa lia lia Tlaatlaah πŸ˜…
sasa wazee kama hao ambao ndiyo washauri wa vijana, ndiyo eti wamelazimishwa kugombea uongozi kupitia upinzani hususan Chadema🀣

wazee wamekosea kosea, na kufuta futa kwenye kujaza fomu utadhani mtihani wa kuibia majibu dah 🀣

wagombea uongozi wote wa CCM Katika uchaguzi huu Serikali za mitaa nchi nzima, ni vijana wasomi wahitimu wa vyuo vikuu mbalimbali nchini..

wazee ndiyo misingi wa uimara wa CCM ndiyo maana hawawezi kuhudhuria mikutano ya fujo na virungu ya upinzani.

Infact,
Kondoa ni miongoni mwa maeneo mengi nchini, ambako hakuna wagombea uongozi wa upinzani πŸ’
 
Nakwenda kuchoma moto kitu chochote chenye rangi ya kijani kwenye nyumba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…