Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini.
Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na Wananchi wa Vitongoji vya Eshkesh na Getakul Kata ya Itaswi Wilaya ya Kondoa.
Kama mnavyoona hapo hao ni wazee ambao ukiwaangalia tu usoni hawana hata nuru. Wamechoka kuanzia nguo zao mpaka pozi zao kwenye picha.
Yaaani you can tell kabisa hali za wananchi huko Kondoa ni mbaya mno. Na of course CCM wamekuja tu hapo for sometime then watakutana na hao wazee watawashawishi wawapigie kura then ndo byebye.
Yaani kweli miaka 60 baada ya uhuru still bado CCM mnafanya kampeni chini ya miti? Na bado mnataka kura za wananchi?
Hivi Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable mnateteaga nini? Mnapatagaje usingizi usiku wakuu?