shilingi 150,000/ kwa Mji wa Dodoma inatosha kabisa Marcus Abanie
Mzee VUTA-NKUVUTE safari hii sifa ya kugombea sharti kuwa mwanamke iliondolewa.
Ni kipengere kilimshinda uspika safari ileeeee!
Inaelekea hata ndani ya chama tawala mood imebadilika kabisa, haitabiriki.Najiuliza ni nini haswa kilisababisha kupachikwa hicho kipengele wakati ule na kwanini kwa nafasi hii kimekuwa kizito kupachika??
Ni kitu kimojawapo kinachosubiriwa.CCM hatutabirikiMzee VUTA-NKUVUTE safari hii sifa ya kugombea sharti kuwa mwanamke iliondolewa.
Ni kipengere kilimshinda uspika safari ileeeee!
sitta is the next president of Tz
huyo mlomuona ana qualities za kuwa presidaa amefanya nini mpaka sasa kama si kutuachia vilio kila kitu bei juu. Tuombe Mungu tupate rais atakayetukomboa. hizo kambi za wanaotaka urais wapigane wachambane hiyo haituhusuAnafaa kuwa Spika sio Presidaa.....6 hana Qualities za kuwa Presidaa wa Tz
Mkuu Anna Lolo, japo mimi sio Mungu, ila sisi binadamu tumeumbwa kwa mfano wake zikiwemo nguvu za Uungu ndani yetu, hivyo hata kabla hujaomba, Mungu aliishasikia, na tayari ameishatupatia rais wa kutukomboa Watanzania!.Tuombe Mungu tupate rais atakayetukomboa
Mbali kote huko kwa TB Joshua kufuata nini?!, aliyeko ndani ya TB Jushua ndio yuko ndani yako!.Kwa hiyo itabidi tuende kwa Prophet Joshua?
Mbali kote huko kwa TB Joshua kufuata nini?!, aliyeko ndani ya TB Jushua ndio yuko ndani yako!.
Pasco
Nakubaliana na wewe, kwanza sheria hairuhusu!, pili hata sheria ingeruhusu, kanuni isiingeruhusu, jana wametunga kanuni Mwenyekiti akiwa wa jinsia fulani, makamo M/Kiti lazima awe jinsia tofauti!.Mwenyekiti wa muda wa sasa, Pandu Kificho ni mzuri pia; anajua kubalance mambo na pia hana jaziba za kijinga kama akina Makinda na msaidizi wake. Huyu mzee ni mtu mwenye busara. Mimi nafikiri awe walau mwenyekiti msaidizi.