Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
kwa mara nyingine Pasco naona unashinda (Una mikoba ya Sheikh Yahaya au T.B. Joshua)
iko siku mtaamini kuwa huyu jamaa ataliminya hilo Bunge la Kikatiba ili liikubali Serikali 2 badala ya 3 kwani ndio Msimamo wake, ambapo Wazanzibar wengi wanaitaka Nchi yao, kutakuwa hakuna kura za Makundi ila za ujumla za Ukumbi wote.
Kaa ufahamu hata Posho itapitishwa kukaribia 700,000/ ambapo hata Wahudumu na Waandishi watataka nyongeza hiyo
Kiko wapi Maisha Bora kwa Mtanzania ? Wakati Wabunge wanavuta isivyo halali

shilingi 150,000/ kwa Mji wa Dodoma inatosha kabisa Marcus Abanie
Last edited by a moderator: