Muigizaji huyo hana jipyaSPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini.
Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Amesema haiwezekani mafuta yanapatikana kwa wiki mbili na baada ya hapo yanakuwa hayapatikani, kisha baada ya muda yananza kupatikana.
Amesema kama mfumo huo unaleta changamoto basi warejee katika mfumo wa zamani kwa kuboresha maeneo yaliyokuwa na changamoto, lakini kama mfumo wa sasa nao unaonekana ni sahihi basi waangalie maeneo yenye changamoto parekebishwe.
Hili jambo liliwahi kuzungumzwa kwa kina ndani ya bunge na mbunge wa Morogoro alijaribu kushauri namna bora ya kupata mafuta kwa haraka, inaelekea aligonga maslahi ya bwana yule.SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini.
Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Amesema haiwezekani mafuta yanapatikana kwa wiki mbili na baada ya hapo yanakuwa hayapatikani, kisha baada ya muda yananza kupatikana.
Amesema kama mfumo huo unaleta changamoto basi warejee katika mfumo wa zamani kwa kuboresha maeneo yaliyokuwa na changamoto, lakini kama mfumo wa sasa nao unaonekana ni sahihi basi waangalie maeneo yenye changamoto parekebishwe.
Kwa wajuz wa fasiri ukiangalia tu huo ushauri ni wa woga mnoo!! Eti kama mfumo huo unaleta changamoto bas warejee kweny mfumo wa zaman ila kama wasasa unaonekana ni sahihi waangalie uboreshaji 🤣🤣🤣🤣!! Kiongoz wa taasis ya kibunge hana details za matatizo ya uagizwaji mafuta?SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini.
Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Amesema haiwezekani mafuta yanapatikana kwa wiki mbili na baada ya hapo yanakuwa hayapatikani, kisha baada ya muda yananza kupatikana.
Amesema kama mfumo huo unaleta changamoto basi warejee katika mfumo wa zamani kwa kuboresha maeneo yaliyokuwa na changamoto, lakini kama mfumo wa sasa nao unaonekana ni sahihi basi waangalie maeneo yenye changamoto parekebishwe.
Tusipepese macho, kikwazo kingine ni MUMEWE Andendelile Mwainyekule ambaye ndiye MKURUGENZI MKUU wa EWURA. Mgongano wa masilahi kati ya Mkuu wa Mhimili wa Bunge na Mamlaka inayosomamia sekta ya nishati kunasababisha uzembe na ukosefu wa UWAJIBIKAJISPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini.
Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Amesema haiwezekani mafuta yanapatikana kwa wiki mbili na baada ya hapo yanakuwa hayapatikani, kisha baada ya muda yananza kupatikana.
Amesema kama mfumo huo unaleta changamoto basi warejee katika mfumo wa zamani kwa kuboresha maeneo yaliyokuwa na changamoto, lakini kama mfumo wa sasa nao unaonekana ni sahihi basi waangalie maeneo yenye changamoto parekebishwe.
Anajaribu kumfichia haya wa ubani
Hiki kiburi hiki nyie haya tu
Mnazunguka bure tu!Tusipepese macho, kikwazo kingine ni MUMEWE Andendelile Mwainyekule ambaye ndiye MKURUGENZI MKUU wa EWURA. Mgongano wa masilahi kati ya Mkuu wa Mhimili wa Bunge na Mamlaka inayosomamia sekta ya nishati kunasababisha uzembe na ukosefu wa UWAJIBIKAJI
Kwa wajuz wa fasiri ukiangalia tu huo ushauri ni wa woga mnoo!! Eti kama mfumo huo unaleta changamoto bas warejee kweny mfumo wa zaman ila kama wasasa unaonekana ni sahihi waangalie uboreshaji 🤣🤣🤣🤣!! Kiongoz wa taasis ya kibunge hana details za matatizo ya uagizwaji mafuta?
Boss la ewura linafaidi mifupa tu 😃Hayo SS anatakiwa akazungumze na babye chumban, ili kuficha aibu,
lilishajadiliwa bungeni na likapitishwa (kwamba mfumo wa sasa ndio unafaa) bunge haliwezi kulijadili tena. (Kama ailivyosema juu ya mkataba wa bandari) basi hivyo hivyo na iwe kwa uagizaji mafuta - asiwe kigeugeu!SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson ametaka ifanyike tathmini ya mfumo mpya wa uagizaji mafuta nchini.
Ametoa kauli hiyo bungeni muda mfupi kabla ya kusitisha shughuli za bunge mchana leo Septemba 7, 2023 na kusema ni wakati mwafaka kwa serikali kufanya tathimini kwa mfumo huo wa uagizaji mafuta kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza.
Amesema haiwezekani mafuta yanapatikana kwa wiki mbili na baada ya hapo yanakuwa hayapatikani, kisha baada ya muda yananza kupatikana.
Amesema kama mfumo huo unaleta changamoto basi warejee katika mfumo wa zamani kwa kuboresha maeneo yaliyokuwa na changamoto, lakini kama mfumo wa sasa nao unaonekana ni sahihi basi waangalie maeneo yenye changamoto parekebishwe.
Kumbe ndiyo hivyo! Usimseme mume wangu kabla nujanipa taarifa - kaa chiniView attachment 2742129
Hapo hataki mumewe James Andendelile Mwainyekule aguswe
Hata hizo kama nazo hazina tija yyoteHuo ni kama ushauri tu, wangekuwa wanafanya kazi yao ya kuisimamia serikali basi ingeundwa kamati ya bunge ya kuchunguza nini chanzo cha tatizo.
Baada ya hapo ingekuja na mapendeleo Bungeni kisha bunge lingeyapitisha kwa azimio rasmi la bunge. Ikiwa ni pamoja na kuitaka serikali iwawajibishe wahusika.
Alas, hatuna Bunge, tuna kundi la wanasiasa ambao kazi yao ni kupitisha kinacholetwa na serikali, kupigapiga meza na kuachia ushuzi baada ya kuvimbiwa chakula cha bure wanacholishwa kwa kodi za walala hoi.
Yale yote ambayo bunge halikuyapitisha ni kwasababu wanachi walipiga kelele. Yaani wanachi wanalazimika kufanya kazi ya Bunge.
Uzee wako utakuwa na raha sana au siyo?Yaani spika huyu; atapata shida sana uzeeni; anawachezea sana watanzania. Uzee wake atapata shida sana.