Dodoma: T- Shirt za CCM zimeandikwa, "Samia Rais, Mavunde Mbunge "

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini.

Swali ni je, tuko kwenye kampeni?

Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani?

Wapinzani kufanya mikutano tu ya kisiasa ni shida wakati wengine wameshaanza kampeni.

Nchi ngumu sana hii!!
 
Kwani Samia ni Nani na Mavunde ni Nani? Tuanzie hapa
 
Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini.

Swali ni je, tuko kwenye kampeni?

Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani?

Wapinzani kufanya mikutano tu ya kisiasa ni shida wakati wengine wameshaanza kampeni.

Nchi ngumu sana hii!!
Ila huyu dogo Mavunde sijui wanampendea nini. Kuna chochote anafanya huyu au ndo vijana wa system?
 
IMG-20221121-WA0052.jpg
 
Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini.

Swali ni je, tuko kwenye kampeni?

Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani?

Wapinzani kufanya mikutano tu ya kisiasa ni shida wakati wengine wameshaanza kampeni.

Nchi ngumu sana hii!!
Wakuu mtaniwia radhi! Mimi nikitaka kuifananisha CCM na vyama vingine hapa nchini, ninaona kama vile nataka kumfananisha bundi na ndege jamii ya kuku, njiwa ama bata.
 
Back
Top Bottom