Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Watanzania wana akili kuliko nyinyiKwani Samia ni Nani na Mavunde ni Nani? Tuanzie hapa
Ila huyu dogo Mavunde sijui wanampendea nini. Kuna chochote anafanya huyu au ndo vijana wa system?Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini.
Swali ni je, tuko kwenye kampeni?
Pili, kwasababu uchaguzi uliopita Samia hakugombea uraisi, bali alikuwa mgombea mwenza, Sasa najiuliza, hizi t-shift zimetengenezwa lini na kwa lengo gani?
Wapinzani kufanya mikutano tu ya kisiasa ni shida wakati wengine wameshaanza kampeni.
Nchi ngumu sana hii!!
Asante sana kwa kuweka ushahidi wa picha.
ukute hata hilo jengo umeme hamna
Tundu lissu yuko chama kinachojielewa sio cha mapoyoyo yale yanayokatazwa kusema mamayao anaupiga mwingi huku umeme na maji hakuna.Tundu Antipas Lisu aje na yeye hajakatazwa
Wakuu mtaniwia radhi! Mimi nikitaka kuifananisha CCM na vyama vingine hapa nchini, ninaona kama vile nataka kumfananisha bundi na ndege jamii ya kuku, njiwa ama bata.Nimeona mwana-CCM mmoja amevaa t-shirt yenye maneno hayo muda si mteu hapa Dodoma mjini.