Dodoma: Taarifa ya Kufanyika Vikao vya CCM Taifa

Vikao na mikutano bora kabisa nchini mwetu, kila LA heri kwa CCM ninyi no mfano bora na wa kuigwa kwa demokrasia
Demokrasia ndani ya CCM ila nje ya CCM Ccm inaminya Demokrasia kwa Vyama vya Upinzani
 
Vikao na mikutano bora kabisa nchini mwetu, kila LA heri kwa CCM ninyi no mfano bora na wa kuigwa kwa demokrasia
Kuna watu ukisoma komenti zao unaweza hisi sio watu halisi bali ni maroboti yamewekwa jf ili kusifia upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…