Dodoma the future modern capital city in East Africa

We neend more eastern countries to join. Eg Mozambique, Madagascar, DRC, Somalia, Ethiopia, South Africa, Comoros etc. So the Capital city of the Nation will be Dodoma.
my friend SA is in southern africa....hehe...akili imejaa kamasi
 
my friend SA is in southern africa....hehe...akili imejaa kamasi
Check the First United Democratic Republic of East Africa



After first Phase second phase Angola and Namibia shall join.
 
Mbona mnabehave kama watoto wadogo hivi... mnajenga nyumba za makaratasi alafu mnaanza kujadiliana.... Hii yote ni wishful thinking, unless mniambie kwamba mnafanya 'what-if' situation ambayo "anything goes".... maanake hii haiwezi fanyika in reality...

First of all, ile Azamo ya AU-2063 ambayo inatarajia Africa yote kuungana inataka wanachama kama EAC, SADC, ECOWAS waungane mwazo kutengeneza Federation moja, kwahivyo kitamso sisi kama kenya tuungane na SADC, Lazma tuungane kama EAC mwanzo, na EAC haiwezi kuungana na SADC kama ECOWAS haijaungana, ikifika huo wakati, sote twaungana kwa pamoja ili muungano mmoja usiwe na nguvu kushinda muungano utakaokua umebaki.... Tayari ukiangalia Addis Ababa ni HQ ya AU kwahivyo logically hion ndo capital city ya muungano wowote mkubwa wa nchi za kiafrica....

lakini hata hayo maazimio ya 2063 ni ndoto, in reality kama tungetaka kufanya hivyo tungefanya baada ya nchi zetu kupata uhuru... lakini kwa sasa haya hayawezi fanyika
 
Mbona unachekesha sana ndugu? Hivi hujui kwamba Burundi kaomba kujiunga SADC ambaye yupo EAC. Hujui kwamba DRC kaomba kujiunga EAC wakati yupo SADC.
Fanya utafiti kwanza kabla ya kuja kuongea
 
Capital is arusha
 
Mbona unachekesha sana ndugu? Hivi hujui kwamba Burundi kaomba kujiunga SADC ambaye yupo EAC. Hujui kwamba DRC kaomba kujiunga EAC wakati yupo SADC.
Fanya utafiti kwanza kabla ya kuja kuongea
Na wewe nawe angalia Map vizuri Hizo nchi umetaja ni nchi ambazo ukiangalia kwa map zinaanguka ndani ya East of Africa, Souththern side of Africa na pia zengine ni central part of Africa..... kwahivyo si vigumu sana kuomba kuingia kwa chama kimoja au kingine, Lakini baada ya hizo nchi huko mbele umetoka nje ya East Africa, haiwezekani watake kujuinga na chama cha east na wao ki giographia wako west.... tena ukiangalia hizo nchi ambazo zinaingia hivi karibuni ni nchi ambazo zinapitia majaribio makali ya kisiasa, ama serekali zao ni changa na hazijakomaa kisiasa, bado hawana msimamo kamili wa kimataifa S.Sudan, Burundi, Somalia, DRC zote ziko hivyo, lakini kwa nchi ambazo zimekomaa tayari ni vigumu sana kuingia chama kingine kati ya SADC, EAC... usitarajie nchi kama kina mozambique ama Egypt-eti iwache Arab league ziingie EAC!!!

Ukiangalia Upande wa north of EAC, Ni Somalia, Ethiopia na S.Sudan ndo bado wako ndani ya East, hao wengine wako north........

Ukitaka hizo nchi zengine ziungane basi itabidi tuvunje EAC na tutengeneze chama kingine kama vile COMESA lakini iwe ya kisiasa badala ya biashara,
African Free Trade Zone - Wikipedia
 
Haha nice one.... A wunt add anything.. Amesema yote
 
Your complicating things. Kwani East Africa inaishia wapi na inaanzia wapi?
Tatizo lako ni ufinyu wa mawazo. Hata Dijbout ipo East lakini kwa sasa hawawezi kuwa Member wa EAC. Kwa sababu katikati ipo nchi. Sasa nimekuuliza Congo imeomba uanachama wa EAC je ipo East. Mbona unalalamika ovyo tu.
Nimekuuliza maswali ya maana unakuja kuimba nyimbo na mapambio.
 
NHIF Zonal Office, Dodoma The Capital City of The United Democratic Republic of East Africa(UDREA)



I hate it when you say United Democratic Republic of East Africa.. There will never be one
 
Tatizo ni kwamba unamawazo ya mtoto mdogo, mambo ya geopolitics, diplomasia , foreign policy yatakuchanganya... Mada yote hii umeileta kama vile mtoto mdogo ambae anacheza kwa mchanga alafu anachora map na kuamua Dodoma ndo ni Capital.....

I am complicating things because in the real world nothing is that simple, EAC tu hapa inatushinda na burundi ,kuunganisha... South Sudan tumeiingiza kabla hata kuhakikisha inafwata vigezo vya kuingia EAC, sasa inatuvuta nyuma tu..Alafu wewe umeshatengeneza your dream capital .
Hebu nipatie majina ya nchi ambazo ziko na maombi ya kuingia SADC au EAC.... Lakini usinipe nchi ambayo serekali ni changa au iko na vitani vya ndani... Nibatie nchi zenye amani na zenye siasa na democrasia ilio komaa...
 
We annael reason kama mtu mzima.. Najua furaha yako ni ukiona comments ni nyingi but hakuna kitu ya maana unaongelea... Kuja na mada za maana acha kuleta orga stories hapa
 
Naona unaweweseka sana. Unaposema nchi zenye serikali changa unamaanisha nini?
Wewe tatizo lako ni mawazo ya kikabila yamekujaa kwenye kichwa chako. Wewe unadhani kuwa serikali ya Kenya imekomaa kumbe ni moja ya Serikali very weak.
Serikali ya Kenya ipo na miaka michache sana kwenye ulimwengu wa demokrasia. Yaani mmeanza kuwa na Democracy 2002 juast 15 years utajiitaje nyie ni serikali ambayo siyo changa.
Vilevile bado nchi inaendeshwa kihuni watu wa jamii ile ile wanaongoza nchi. Sasa how does Kenya ikawa siyo weak. Je, Kenya na burudi kwa upande wa stability kunatofauti yoyote?

Nataka kukuonesha namna mlivyo weak huku mkdhani kwamba mpo tofauti na nchi zingine.
Tanzania ndiyo nchi pekee yenye kufanya monitoring ya kila kitu kinachoendelea EA. Na ndiyo nchi yenye kura kubwa kwenye Union siyo Kenya maana bado ni nchi changa mno.

Diplomasi yenu ni mbovu mbovu sana. Mnaanzisha migogoro ambayo haina hata sababu. Majirani zenu wote mnagombana nao. Sasa hiyo ni diplomasia gani hiyo? Bado nyie ni wachanga mno katika ulimwengu wa diplomasia.
Jifunzenu kutoka Tanzania.
Migogoro mingi ya kujifanya wajuaji.
Mlianzisha migogoro dhidi ya Tanzania na kujifanya mnaanzisha CoW imeishia wapi. Mpaka Waziri mkuu wa Ethiopia anakuja kuomba mizigo ya siri ipitishiwe Bandari ya Dar es salaam maana nyie mnakuwa ni wanafiki. Mnatoa siri za nchi zingine eti kwa sababu tu wamepitishia Mombasa.
Hakuna nchi yoyote makini itapitishia mizigo ya siri za serikali hapo Kenya.
Which Diplomacy are you talking about au unataka niichambue nchi yenu na kisha uanze kutoa mapovu.

Check hiyo map nimekuonesha. Nakama hamtaki kuenda tutawalazimisha muende maana sisi ni maboss wenu.
 
We annael reason kama mtu mzima.. Najua furaha yako ni ukiona comments ni nyingi but hakuna kitu ya maana unaongelea... Kuja na mada za maana acha kuleta orga stories hapa
Yaani kuwa na United Democratic Republic of East Africa unasema siyo jambo la maana!!? Wewe jambo la maana ni lipi?
 
Ardhi ya Tanzania si nyingi kama unavyodhani, kieneo na idadi ya watu tz na Kenya haitofautiani sana, sema Tanzania ina sera nzuri ya ardhi, si nasikia Kenyata amehodhi ardhi kubwa na ni yake mali yake kabisa?

Lazima sera nzuri ndizo zifuatwe, Kenya ikopi Tanzania ktk sheria na sera za ardhi, haya akna Kenyata wataziachia mmiliki zao za ardhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…