Na wewe nawe angalia Map vizuri Hizo nchi umetaja ni nchi ambazo ukiangalia kwa map zinaanguka ndani ya East of Africa, Souththern side of Africa na pia zengine ni central part of Africa..... kwahivyo si vigumu sana kuomba kuingia kwa chama kimoja au kingine, Lakini baada ya hizo nchi huko mbele umetoka nje ya East Africa, haiwezekani watake kujuinga na chama cha east na wao ki giographia wako west.... tena ukiangalia hizo nchi ambazo zinaingia hivi karibuni ni nchi ambazo zinapitia majaribio makali ya kisiasa, ama serekali zao ni changa na hazijakomaa kisiasa, bado hawana msimamo kamili wa kimataifa S.Sudan, Burundi, Somalia, DRC zote ziko hivyo, lakini kwa nchi ambazo zimekomaa tayari ni vigumu sana kuingia chama kingine kati ya SADC, EAC... usitarajie nchi kama kina mozambique ama Egypt-eti iwache Arab league ziingie EAC!!!
Ukiangalia Upande wa north of EAC, Ni Somalia, Ethiopia na S.Sudan ndo bado wako ndani ya East, hao wengine wako north........
Ukitaka hizo nchi zengine ziungane basi itabidi tuvunje EAC na tutengeneze chama kingine kama vile COMESA lakini iwe ya kisiasa badala ya biashara,
African Free Trade Zone - Wikipedia