tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Ukuelewa kitu kumbe, Moshi na nairobi ilianza pamoja usimix topics hapa,unataja London na newyork zinahusiana nn apa?Mji mzee wamaanisha nini?
London is almost 2000 years old. New York is 400 years.
The older the city the better.
Na mimi naongea na statistics. Wewe waongea wishful thinking.
Plus Nairobi is not just the CBD. Actually CBD kumejaa.
Nairobi metro is big and grand and growing like crazy.
Sikua nazungumzia uzee wa mji wenu lahasha, Nairobi unaioverrate sana,fuatilia na miji mingine sio unajichimbia apo kwenu tu ukahisi pengine Hamna miji..
My take;kama kiswahili uelewi Au huwez we andika lugha ya malkia tu tutaenda sawa,maana naandika hivi unatafsiri tofauti!!