TRA Tanzania Senior Member Joined Jul 16, 2022 Posts 128 Reaction score 370 Dec 5, 2024 #1 Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.
Mamlaka ya Mapato Tanzania imetoa semina kuhusu kodi ya zuio kwa Taasisi za Umma leo tarehe 5/12/2024 Dodoma. Semina hiyo iliongozwa na Naibu Kamishna wa Huduma za Kiufundi kutoka idara ya Walipakodi Wakubwa (DCTS) Bw. Gabriel Kimweri.