Dodoma tumezidi kuonewa kwenye suala la ardhi

Dodoma tumezidi kuonewa kwenye suala la ardhi

babu bulicheka

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2021
Posts
822
Reaction score
1,048
Inauma mwananchi kudhulumiwa maeneo aliyoyaendeleza kabla ya uhuru

Inashangaza maeneo ya Msalato, Kiterela watu waliokuwa wanamiliki mashamba ya asili kuporwa kwa kisingizio cha upangwaji Jijji.

Mbona MZEE Magufuli eneo alilopitisha SGR Mtumba na alipojenga Mji wa Serikali aliwalipa pesa bila kukata%30? Iweje huku tuonewe?

Jiji lielewe suala la ardhi halina uficho haki itakuja kuonekana hata kizazi cha tatu
Akitokea kuwafumbua Wagogo wanavyodhulumiwa ardhi patachimbika

Mbona Wachagga Kiborolonihawanyanganywi ardhi kijinga?
 
Back
Top Bottom