Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu linaruhusiwa ....
dodoma ni mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania. ...kama sijakosea
Dodoma ni mji wa nne kwa ukubwa Tanzania. Inafuta baada ya Dsm, Mwanza na Arusha.Povu linaruhusiwa ....
dodoma ni mji wa 8 kwa ukubwa Tanzania. ...kama sijakosea
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]Dodoma ni mji wa nne kwa ukubwa Tanzania. Inafuta baada ya Dsm, Mwanza na Arusha.
List of cities in Tanzania - Wikipedia
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG][HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
Shikamooo Thika.kenya vehicle manufacturers thika
![]()
![]()
Achana na Wikipedia kijana...Dodoma ni mji wa nne kwa ukubwa Tanzania. Inafuta baada ya Dsm, Mwanza na Arusha.
List of cities in Tanzania - Wikipedia
It doesn't have city status yet. More like a 'capital town'It's the capital city? Right?
Hata ungekuwa unajua kama mungu. Dodoma haifikii Thika. Thika iko miaka 100 mbele ya dodoma. Labda kama mnaishinda kwa kufyatua wanadamu.Achana na Wikipedia kijana...
Dar, mwanza, Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro, Dodoma, Moshi nk. .....tuulize sisi tunaoifahamu iyo miji vizuri Wikipedia kitu gani
Si ajabu hata hapo Namanga tu hujawahi kufika ila kwa kuwa unajificha nyuma ya keyboard basi unajiona kila kitu unajua. Na unaweza kulinganisha chochote kinachokujia kichwani mwakoAchana na Wikipedia kijana...
Dar, mwanza, Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro, Dodoma, Moshi nk. .....tuulize sisi tunaoifahamu iyo miji vizuri Wikipedia kitu gani
Unajua mda mwingne mnakera sana nyie ...picha zote izo ni udom?Hata ungekuwa unajua kama mungu. Dodoma haifikii Thika. Thika iko miaka 100 mbele ya dodoma. Labda kama mnaishinda kwa kufyatua wanadamu.
Unajua mda mwingne mnakera sana nyie ...picha zote izo ni udom?
Mkishindwa mnalazimisha ushindi ....ushindi sio kirahisi apa....thika ni another joke utamdanganya nani picha zimesadifu?picha hazidanganyi....ndio dodoma sio jiji ni municipal!! Lakini mziki wake umeuona