maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Dodoma yenyewe maji ya kunywa bado ni shida, mnazungumzia bwawa la srarehe! Hebu tutumie akili kidogoKuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa ma