Kuna huu Ufukwe mkubwa zaidi barani Afrika wa 'Man-made unaitwa Munyaka Estate crystal lagoon umefunguliwa Johannesburg, ni mkubwa mara 7 ya uwanja wa mpira na ni ufukwe wa 3 wa Afrika Kusini uliotengenezwa na binadamu.
Nina wazo tu serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi waunde huo mradi ili kuongeza ajira na uwekezaji hapo Dodoma..inawezekana kabisa ma