Dodoma: Watuhumiwa mauaji ya mtoto Graison wafikishwa mahakamani

Umeshiba MAKANDE UNAROPOKA TU , usiwachukulie poa polisi hasa wakiamua kumpata mtu wao
 
Kuminya pumbu ndio njia pekee inayotumiwa na polisi kupata ushahidi.
 
Mama mtoto anatajwa kama mfanyabiashara maarufu mjini Dodoma. Kwa biashara gani?

Hawa waandishi mbona wanaleta mazoea kwenye biashara, mtu anadanga ghafla mara anaitwa mfanyabiashara tena maarufu, tena jijini kabisa bora ingekuwa kijijini.
Labda biashara yake ya kudanga TRA wanaitambua.
 
Kuminya pumbu ndio njia pekee inayotumiwa na polisi kupata ushahidi.
Bad method of interrogation.

Polisi wa Tanzania bado wapo kwenye enzi za ujima katika kupata Ushahidi wa matukio kama haya. Endapo kama Sayansi ingetumika kwenye suala hili, mpaka Sasa kila kitu kingekuwa tayari kimejulikana kwa uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…