Dodoma yaweza kuwa kama Windhoek

mkuu narudia kwa mara ya mwisho acha story za vijiweni..umewahi kufika Abuja?inafanana na design ya dom?.kama hujafika angalia basi hata YouTube uje useme hiyo design inafanana na dom katika mambo yapi....maana sikuona kinachofanana na dom kuanzia barabara hadi hizo huduma.
 
Nenda kabishane facebook humu JF hupawezi aisee manake unapewa facts wewe unaleta porojo na chuki zako kwa Dom.
Ungekua na akili ungegoogle tu ni mwakagani makao makuu ya Nigeria yalihamishwa kutoka Lagos kwenda Abuja.
Abuja ilipewa hadhi ya makao makuu ya Nigeria tangu mwaka 1991...Je unajua uchumi wa Nigeria ulikuaje kwa kipindi hicho cha mwaka 1991.
 
Facts gani?! Yani Abuja waache kuchukua structures za miji kama Vienna,Cairo, Johannesburg waje waige ramani za dodoma?
 
Facts gani?! Yani Abuja waache kuchukua structures za miji kama Vienna,Cairo, Johannesburg waje waige ramani za dodoma?
Wangeweza hata kuiga city master plan ya hapohapo kwao Lagos lakini walikuja Dodoma kujifunza na kuiga kwasababu factors zilizofanya wahamishe makao makuu kutoka Jiji la kibiashara Lagos kwenda katikati ya nchi Abuja mwaka 1991 zinafanana na sababu za kuhamisha makao makuu Tanzania kutoka Dar kwenda Dodoma na kuanzishwa kwa CDA tangu mwaka 1974.
 
Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Nikucheki hata kama sina vyeti zaidi ya ujuzi?
 
Asante kwa historia nimeingiza kaelimu kidogo
 
K
Kusema mpaka Magufuli alipokuja ni uongo ila Magufuli alitia msukumo zaidi

Ujenzi wa Bunge,Udom, Benjamin Mkapa Hospital na mipango Miji Ilianza kitambo tuu kabla ya Mwendazake.

Ila Mwendazake alitia msukumo na kuwasha taa na gari ndio imekolea Hadi Leo.Kwa issue ya Dom apewe maua yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…