NIPO..Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIPO..Bado natafuta mwalimu wa kufundisha courses za computer kama vile word excel PowerPoint publisher adobe acrobat chatgpt windows operating system etc.kama una hiyo skillset usisite kunicheki
..mkuu acheni story za vijiweni...Nigeria yenye uchumi wa juu Africa ije ichukue ramani ya mji wa dom ambao hata haujajengwa?.ujinga sana 😆Jiji la Abuja huko Nigeria..
Ramani ya Mji huu inasadikika ilichukuliwa kwenye ramani ya Ujenzi wa Mji mkuu wa Tanzania-Dodoma lakini wakati CDA wakibaki na makaratasi tu miaka nenda rudi mpaka Magufuli alipokuja kuivunja CDA, Nigeria wao walioomba hii Ramani na kuifanyia kazi Taifa ambalo lilikumbwa na migogoro ya wenyewe kwa wenyewe,Mapinduzi ya Kijeshi ya Mara kwa mara, na changamoto chungumzima lakin ndio Taifa lenye Uchumi mkubwa zaidi Afrika.
Nigeria inasifiwa kwakua uchumi wake haukuhusisha watu weupe kama ilovyo Afrika Kusini,Bali maendeleo yote ya Nigeria yametokana na wao wenyewe (weusi)
Hii ndio sababu inayowaponza kwani mataifa ya Magharibi yanaumia kuona taifa ambalo halina mkoko wa Mzungu inakuaje liwe na Uchumi mkubwa kuizidi Afrika Kusini ambayo Uchumi wake umekolezwa ,zadi na uwepo wa Makaburu wazungu wahamiaji kutoka Uholanzi kabla ya Ukoloni?
Makaburu waliopo Afrika Kusini ni zao la wazungu ambao walitoka Uholanzi karne nyingi kwa nia ya kwenda India kutafuta maisha kwa kuzunguka bara la Afrika kupitia Kusini lakini walipofika Afrika Kusini wakaona walichokuwa wanakifata India kipo pale wakapiga kambi na kulowea hapo,
Hata ilipofika kipindi cha Ukoloni Waingereza walipofika pale wakawakuta watu weupe na iliwapa ugumu sana kuitawala Afrika Kusini kwakua wale weupe hawakukubali kirahisi ndipo Waingereza wakawahadaa waafrika kuwa waholanzi wale wanawanyonya wao wamekuja kuwasaidia ndipo walipowashinda makaburu kwa kushirikiana na mtu mweusi, jambo hilo liliongeza chuki kwa Waholanzi kwani awali waliishi na wenyeji vizuri lakini wakagombanishwa ndipo uhasama ukaanza ,hata baada ya Uhuru Makaburu waliposhika nchi wakaendeleza visasi ndipo Waafrika walipokoma sasa kichaa kapewa rungu.
Makaburu wakatengwa na Ulimwengu kwa kuwanyanyasa weusi (wenyeji) kama Ilivyo Irani na Korea Kaskazini,ukitengwa unajitahidi ujitegemee kwa kila kitu,wakaanza kutengeneza Uchumi wao makaburu ili wawe imara wasitishwe au kuvamiwa wakaunda mpaka silaha za nyuklia,
Namibia nzima ina watu 2.5 milion unategemea mji uwe na watu wangapi. Jpili kama leo kuko kama Moshi hakuna mtu mjin.halafu wengi wasichojua, Dodoma ina population kubwa kuliko Windhoek. mwaka 2020 windhoek ilikuwa na pupulation ya 431,000 wakati mwaka 2022 Dodoma imekuwa na watu 765,000 (toka laki nne hadi laki saba, au tuseme basi mwaka 2021 windhoek waliongezeka wakafika walau 500,000 bado kuna laki mbili nzima chenji inabaki kwa pupulation ya Dodoma. kwahiyo population plus serikali kuhamia, plus dodoma ni katikati wasafiri wengi hupita hapo kwenda kwengine plus biashara, Dodoma ikijengwa vyema itakuwa bora kuliko windhoed. watu wajenge tu magorofa.
hako kamji ka windhoek ukikachukua unaona kabisa kamejengwa eneo dogo sana ndo kuna magorofa, ukilinganisha na Magufuli city inavyojenga mji wa kiserikali kule, nadhani mniaka 5 mingi, dodoma itakuwa mbali sana kuliko windhoek manake mji wa kiserikali kule magorofa mengi sana yanajengwa na pamepangika kuliko hata windhoek.
Sasa master plan inahusiana Nini na uchumi mzee..mkuu acheni story za vijiweni...Nigeria yenye uchumi wa juu Africa ije ichukue ramani ya mji wa dom ambao hata haujajengwa?.ujinga sana 😆
Ongeza nyama mkuu, ilikuwa lini? Umetetea hoja yako vizuri ila hujawa full of facts.Lilianza Abuja, lakini master plani ya Dodoma ilikwepo miaka mingi kabla ya abuja na ndipo wataalamu wa mipango miji kutoka Nigeria walikuja kujifunza Dodoma kipindi hicho
Dodoma ilipewa hadhi ya mji mkuu/makao makuu Tanzania mwaka 1974 ....Abuja ilipewa hadhi ya mji mkuu mwaka 1991 kabla ya hapo Lagos ndio ulikua mji mkuu wa NigeriaAbuja na Dodoma ni jiji lipi lilianza mkuu?
stori zipi za vijiweni hujui kuwa Dodoma ilipewa hadhi/status ya makao makuu ya nchi tangu mwaka 1974.Hiyo Abuja imekuja kupewa hadhi ya mji mkuu wa Nigeria mwaka 1991 ...kabla ya hapo mji mkuu wa Nigeria ulikua Lagos baadae ndio wakahamisha kutoka Lagos kwenda Abuja mwaka 1991.Sababu za kuhamisha makao makuu ya nchi Nigeria kutoka Lagos kwenda Abuja zinafanana na za Tanzania kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma...mkuu acheni story za vijiweni...Nigeria yenye uchumi wa juu Africa ije ichukue ramani ya mji wa dom ambao hata haujajengwa?.ujinga sana 😆
Wezi wa hela za serikali wale wapi?of course jiwe alikuwa na mawazo mazuri sana kikiwa hakijampanda. shida moja ya Dodoma na TAnzania nzima ni uchafu. niliona leo Yanga walivyokuwa wanashangaashangaa mitaani Kigali Rwanda, walivyo wasafi. Dodoma inatakiwa kuwa safi, kuwe na gardens na kijani kibichi kila sehemu, pembezoni mwa barabara hadi majumbani. utakuwa mji mzuri sana.
..sasa mkuu kupewa hadhi ya kuwa makao makuu miaka ya zamani ndio kujengwa?..yaani wanaijeria walivyo highly educated waende kucopy ramani ya mji wa dom ambao haujajengwa kweli?.unawafahamu wanaijeria?umeshawahi kufika Abuja ukafananisha na dom?..yaani wanaija waache kwenda kujifunza&kuchukua ramani za majiji kama windhoek, capetown, Copenhagen, etc waende kuchukua ramani iliyotengenezwa na CDA dom kwa mji ambao haujajengwa?.acheni story za vijiweni!stori zipi za vijiweni hujui kuwa Dodoma ilipewa hadhi/status ya makao makuu ya nchi tangu mwaka 1974.Hiyo Abuja imekuja kupewa hadhi ya mji mkuu wa Nigeria mwaka 1991 ...kabla ya hapo mji mkuu wa Nigeria ulikua Lagos baadae ndio wakahamisha kutoka Lagos kwenda Abuja mwaka 1991.Sababu za kuhamisha makao makuu ya nchi Nigeria kutoka Lagos kwenda Abuja zinafanana na za Tanzania kuhamisha makao makuu kutoka Dar kwenda Dodoma.
Tatizo ni kuwa na population kubwa ya watu waharibifu kama watanzania. Windhoek ina watu wachache wanaojiheshimu.halafu wengi wasichojua, Dodoma ina population kubwa kuliko Windhoek. mwaka 2020 windhoek ilikuwa na pupulation ya 431,000 wakati mwaka 2022 Dodoma imekuwa na watu 765,000 (toka laki nne hadi laki saba, au tuseme basi mwaka 2021 windhoek waliongezeka wakafika walau 500,000 bado kuna laki mbili nzima chenji inabaki kwa pupulation ya Dodoma. kwahiyo population plus serikali kuhamia, plus dodoma ni katikati wasafiri wengi hupita hapo kwenda kwengine plus biashara, Dodoma ikijengwa vyema itakuwa bora kuliko windhoed. watu wajenge tu magorofa.
hako kamji ka windhoek ukikachukua unaona kabisa kamejengwa eneo dogo sana ndo kuna magorofa, ukilinganisha na Magufuli city inavyojenga mji wa kiserikali kule, nadhani mniaka 5 mingi, dodoma itakuwa mbali sana kuliko windhoek manake mji wa kiserikali kule magorofa mengi sana yanajengwa na pamepangika kuliko hata windhoek.
Wanaigeria walikuja kujifunza jinsi CDA ilivyopewa mamlaka ya kuendeleza jiji la Dodoma kuwa makao makuu. Naigeria nao walikuwa kwenye mipango ya kuhamisha makao yao makuu kutoka Lagos kwenda Abuja...mkuu acheni story za vijiweni...Nigeria yenye uchumi wa juu Africa ije ichukue ramani ya mji wa dom ambao hata haujajengwa?.ujinga sana 😆
Naaam mkuu😁Haya makofi mara tatu kwa bwana jiwe
👏👏👏Hongera
👏👏👏 Imara
👏👏👏 Waaa
Uko sahihi..wenzetu walifanya kwa vitendo wakati sisi bado tunashangaa shangaaNilipata kusikia kwamba master plan ya jiji la Abuja Nigeria ni copy and paste ya jiji la dodoma .
..sasa mkuu kupewa hadhi ya kuwa makao makuu miaka ya zamani ndio kujengwa?..yaani wanaijeria walivyo highly educated waende kucopy ramani ya mji wa dom ambao haujajengwa kweli?.unawafahamu wanaijeria?umeshawahi kufika Abuja ukafananisha na dom?..yaani wanaija waache kwenda kujifunza&kuchukua ramani za majiji kama windhoek, capetown, Copenhagen, etc waende kuchukua ramani iliyotengenezwa na CDA dom kwa mji ambao haujajengwa?.acheni story za vijiweni!
Wewe nawe unabisha ilimradi uonekane unabisha ...unapewa facts zote na bado unaendelea kubishana 😀😀...sasa mkuu kupewa hadhi ya kuwa makao makuu miaka ya zamani ndio kujengwa?..yaani wanaijeria walivyo highly educated waende kucopy ramani ya mji wa dom ambao haujajengwa kweli?.unawafahamu wanaijeria?umeshawahi kufika Abuja ukafananisha na dom?..yaani wanaija waache kwenda kujifunza&kuchukua ramani za majiji kama windhoek, capetown, Copenhagen, etc waende kuchukua ramani iliyotengenezwa na CDA dom kwa mji ambao haujajengwa?.acheni story za vijiweni!
upo sahihi.Wewe nawe unabisha ilimradi uonekane unabisha ...unapewa facts zote na bado unaendelea kubishana 😀😀.
Ni hivi makao makuu ya Nigeria yalikua Lagos hadi mwaka 1991 walipohamishia Abuja katikati ya Nigeria(kama ilivyo kwa Dom katikati ya nchi).Dodoma ilipewa status ya makao makuu tangu mwaka 1974 na ikawekwa chini ya CDA.Kwahiyo utaona hapo sababu za kuhamisha makao makuu kutoka jiji la kibiashara kwenda katikati ya nchi zinafanana kote kwa Nigeria na Tanzania ndiomana Nigeria walikuja Dodoma kucopy master plan na kujifunza namna ya uendelezaji makao makuu kutokana na uzoefu wa CDA iliyokua na zaidi ya miaka 16 tangu ianzishwe kwa mudahuo ambao Abuja ilitangazwa kuwa makao makuu.
Na hii ni kawaida sana kwa nchi kwenda kujifunza nchi nyingine kwenye eneo fulani na kucopy idea za huko.....ndiomana hata hapo Rwanda tu jirani wamecopy na kupaste baadhi ya sera za Tanzania kwenye huduma za kijamii n.k