figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Hii Bunge sijui hata kama wanajitathmini habari zao zinavyopuuzwa siku hiziKikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
Kwani kina shida gani kuwa chini ya kiongozi mwanamke?Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake
Sasa itakuwaje ?Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
Ingekuwa wewe ni Mzee Zungu umeteuliwa ungekataa kisa boss ni dada?Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake
Mfuasi wa chattelHivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi...."
Yani Kodi na tozo wanazokamuliwa wale waliopewa ardhi hii ya Afrika zinaliwa na wale ambao kwao huwezi hata kupewa nafasi ya kuoa au kuolewa.Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu
Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha...
Hata mimi ni mweupe ngozi yangu. Kwa hiyo nifikiriwe piaNaomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu
Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha....