Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sijapendaHivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??
Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!
Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Dr Tulia.... Hehehehhe nilikwambia ktk maombi yangu what is next... Good day Mh SpikaKikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
😃😀😄😁😆😁😄😅😂🤣😆😁😂😂Huyu Mzee Alituuwa Kwenye Tozo MpakaBabu Tozo
Hujuwi kitu... Kale kande.... Wenye akili wanajuwa na wamepiga kimya hakuna anaye funguwa kinywa... Hata kutoa commentsNaomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu
Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha....
Kwani tunaangalia umri au vigezo na utendaji kazi?Haitapendeza kuwa chini ya yule binti!
Unataka kumaanisha nini kuhusu Zungu?Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??
Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!
Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Toka uko na wahind wenxakoNaomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu
Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha...
Hela haina uzee acheni kutudhalilisha...Hizi njaa hizi, Sasa huyu mzee ameamua kuwa chini ya Huyu dada, angetunza heshima yake
Alipost picha yupo na raisi nikaona anajipendekeza apate unaibu tu lakini kakatwa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo liko wapi hapo mkuu ?Huyu na uzee wote huo anaenda kuwa chini ya Tulia?.
Bunge la MagufuliKikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.
Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
View attachment 2113082
Ripoti ya CAG haijamwacha salama fisadi mkubwa na kile kinyago cha mpalule alichochonga akasema ni sanamu ya nyerere wakati kachonga kinyago kinachofanana na baba yake mwehu sio nyerere akamkabidhi magufuli kuwa ni sanamu ya nyerere hakijamuacha salama na utapeli wake 2025 atafute kazi ingine ya kufanyaKigwa angekaa apo ingependeza
Uingereza waziri wa fedha mswahili ngozi nyeusi m ghanaHivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??
Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!
Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""