Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

Dodoma: Zungu ateuliwa na CCM kuwania kiti cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania

Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
Dr Tulia.... Hehehehhe nilikwambia ktk maombi yangu what is next... Good day Mh Spika
 
Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu

Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha....
Hujuwi kitu... Kale kande.... Wenye akili wanajuwa na wamepiga kimya hakuna anaye funguwa kinywa... Hata kutoa comments
 
Huyo kashapita wampitishe tu maana hamna maana ya kufanya uchaguzi
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Unataka kumaanisha nini kuhusu Zungu?

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Ilitarajiwa, hakuna aliyekuwa kamzidi uzoefu kwa hiyo post
 
Naomba niipongeze CCM kumpa ugombea Unaibu Spika Zungu

Nyerere aliweka watanzania wenzetu ngozi nyeupe uwaziri mfano Mzungu Dr string sijui kama spelling ziko sawa alipewa uwaziri wa Afya na mhindi Amir Jamal alimpa uwaziri wa fedha...
Toka uko na wahind wenxako
 
Huyu na uzee wote huo anaenda kuwa chini ya Tulia?.
Tatizo liko wapi hapo mkuu ?
Kumbuka hiyo ni kazi na sio familia kwamba Zungu atakua first born wa Tulia.
 
Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia Suluhu Hassan kimempitisha Mbunge wa Ilala Mussa Zungu kuwa Mgombea wa Kiti Cha Naibu Spika wa Bunge la Tanzania.

Nafasi hii imekuwa wazi baada ya Tulia Ackson kujiuzulu unaibu Spika ili agombee Uspika.
View attachment 2113082
Bunge la Magufuli

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kigwa angekaa apo ingependeza
Ripoti ya CAG haijamwacha salama fisadi mkubwa na kile kinyago cha mpalule alichochonga akasema ni sanamu ya nyerere wakati kachonga kinyago kinachofanana na baba yake mwehu sio nyerere akamkabidhi magufuli kuwa ni sanamu ya nyerere hakijamuacha salama na utapeli wake 2025 atafute kazi ingine ya kufanya
 
Hivi Waafrika wakienda India wanaweza kupata hata ujumbe wa nyumba kumi.??

Wema wa waafrika ni kitanzi kwao.
Rasilimali za Afrika zinaliwa na wageni!!

Remi Ongala aliwahi kuimba ""Wemaaa ,wemaaaaa, wemaaa mmmm#** nyuku !!""
Uingereza waziri wa fedha mswahili ngozi nyeusi m ghana
 
Back
Top Bottom