DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,392
- 2,599
Hakika mkuu, sanduku la kura na katiba mpya kamwe haviwezi kubadilisha chochote kutokana na hali ya sasa na hakika njia aliyo pendekeza Tundu Antipas lissu ni miongoni mwa njia bora kabisa ya kuzika umasikini wetu endapo tukiitilia umakini na kuifuata itatupa kwa asilimia kubwa matokeo chanya ya shida zetu.Tundu Lissu alijaribu kuwaamsha Wadanganyika kwa maandamano. Alipoona uoga umezidi na hakuna aliyejitokeza, huyoo akapanda pipa kwenda kula maisha Ubelgiji na sidhani kama ana mpango wa kurudi. Inauma sana unapowapigania watu mpaka kuhatarisha maisha yako lakini unaowapigania wapo wapo tu hawajitambui.
Na kwa uoga huu CCM itatawala milele!
Sawa, karibu.Nitarudi.
Nakubaliana na wewe mkuu kuhusu kuitafuta katiba mpya lakini katiba mpya haipaswi kupatikana sasa kwa Watanzania walio waoga kwa kua itakua si chochote si lolote haitaleta matokeo chanya katika jamii ya watu waoga kwa kuwa pia nayo itaweza kukanyagwa na hao watu na waoga wasifanye chochote kile kui tetea.Kama kuitoa CCM madarakani imetupasa kutokuwa WAOGA, basi tatizo si woga, Bado CCM ni tatizo.
Bt chanzo Cha yote ni Katiba mbovu .
Tupambanie KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
Ilipatikana hiyo, CCM imekufa automatically.
Angalizo: HOFU au UOGA ni DHAMBI.
Wa kuogopwa na kutetemekewa ni MUNGU pekee na Si WANADAMU,lakini kama tu umesimama ktk KWELI na HAKI.
Ameeeen.
Kwa hiyo tuendelee kuvumilia umasikini na matatizo yetu hata Kama yana tuumiza ? hiyo hari tutaivumilia mpaka lini ?Muda utafika, huu mchezo una mwisho hata kama sio kizazi chetu
Unaposema kuhusu China nadhani hasa unamaanisha China[ PRC] pitia historia yao kidogo mkuu, ujifunze ni kwa njia ipi waliya pata hayo yaliyo bora kwa sasa. kasome matatizo ya China kabla ya serikali ya watu wa China kusimikwa rasmi 1949. Je China ya sasa PRC ili kuwa hivi toka awali kabla ya uamuzi wa watu wa China na wakina Mao Zedong 1949 ?"Kuitoa kafara miili yetu"ndio nini?
Nchi hii ina matatizo Mengi,ya kisiasa ni ccm,tuliambiwa enzi hizo,tunahitaji,watu,ardhi,Siasa safi,na uongozi Bora,
Vingine vipo kibao,Siasa safi na uongozi Bora,ndio shida kubwa.
Korea kusini,Philippine,Uturuki,China,Vietnam,hizi zote,viongozi walitoa Siasa safi na uongozi Bora,China hakuna demokrasia,lakini Kuna Siasa Bora!!
Bongo,hakuna Siasa safi Wala uongozi Bora,Kuna wezi tu pale Ikulu,wanatumia vyombo vya dola kubaki Madarakani,Hawa dawa yao,sio sanduku la kura,ni shaba tu za vichwa,na kutatuliwa malinda
Watangulizi waliwafungia watawaliwa ktk magereza ya HOFU.Nakubaliana na wewe mkuu kuhusu kuitafuta katiba mpya lakini katiba mpya haipaswi kupatikana sasa kwa Watanzania walio waoga kwa kua itakua si chochote si lolote haitaleta matokeo chanya katika jamii ya watu waoga kwa kuwa pia nayo itaweza kukanyagwa na hao watu waoga wasifanye chochote kile.
Ni jambo jema kama hao waoga wata amka lakini ni lini hayo yatatokea katika ardhi hii ya Mlima Kilimanjaro ?Muda umefika, hao unaowaona WAOGA, watakavyoamka hutoamini.
Yan ccm haohao katiba inawalinda ndio waibadilishe ili watolewe madarakani? Tena hakuna mchakato utakuja kuwa wa hovyo kama wa kuunda katiba mpya. Katiba itaandaliwa kimizengwe kwa kuendelea kuilinda ccm na wakati wenye akili wanaikataa, ishu ya demokrasia itakuja kuwa ipigiwe kura. Mtaenda kuiponda kweli kwa wananchi lakini c unajua sanduku la kura ni hilohilo la ccm.Kama kuitoa CCM madarakani imetupasa kutokuwa WAOGA, basi tatizo si woga, Bado CCM ni tatizo.
Bt chanzo Cha yote ni Katiba mbovu .
Tupambanie KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
Ilipatikana hiyo, CCM imekufa automatically.
Angalizo: HOFU au UOGA ni DHAMBI.
Wa kuogopwa na kutetemekewa ni MUNGU pekee na Si WANADAMU,lakini kama tu umesimama ktk KWELI na HAKI.
Ameeeen.
Hakika mkuu umenena, Katiba mpya na sanduku la kura hivi ni vyombo vya masilahi ya watawala kwa watawaliwa kuwa fanyia kiini macho watawaliwa ili waendelee kupumbazika kila uchwao wakiviamini.Yan ccm haohao katiba inawalinda ndio waibadilishe ili watolewe madarakani? Tena hakuna mchakato utakuja kuwa wa hovyo kama wa kuunda katiba mpya. Katiba itaandaliwa kimizengwe kwa kuendelea kuilinda ccm na wakati wenye akili wanaikataa, ishu ya demokrasia itakuja kuwa ipigiwe kura. Mtaenda kuiponda kweli kwa wananchi lakini c unajua sanduku la kura ni hilohilo la ccm.
Kwa wakili yako unadhani ccm watakubali katiba itokanayo na rasimu ya warioba.Kama kuitoa CCM madarakani imetupasa kutokuwa WAOGA, basi tatizo si woga, Bado CCM ni tatizo.
Bt chanzo Cha yote ni Katiba mbovu .
Tupambanie KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.
Ilipatikana hiyo, CCM imekufa automatically.
Angalizo: HOFU au UOGA ni DHAMBI.
Wa kuogopwa na kutetemekewa ni MUNGU pekee na Si WANADAMU,lakini kama tu umesimama ktk KWELI na HAKI.
Ameeeen.
Mkuu mwaka ganiTundu Lissu alijaribu kuwaamsha Wadanganyika kwa maandamano baada ya uchafuzi wa 2000. Alipoona uoga umezidi na hakuna aliyejitokeza, huyoo akapanda pipa kwenda kula maisha Ubelgiji na sidhani kama ana mpango wa kurudi. Inauma sana unapowapigania watu mpaka kuhatarisha maisha yako lakini unaowapigania wapo wapo tu hawajitambui.
Na kwa uoga huu CCM itatawala milele!
Usiishi Kwa mazoea au kukariri.Kwa wakili yako unadhani ccm watakubali katiba itokanayo na rasimu ya warioba.
Pia katiba haijawahi kuwa suluhisho kama inapuuzwa na watawala..ona tu jinsi hii iliyopo wanavyoikanyaga waziwazi.
#MaendeleoHayanaChama
Naona sana na nafuatiri siasa za nchi hii kwa ukaribu..Usiishi Kwa mazoea au kukariri.
Ungekuwa na " MACHO" ungeyatumia kuona.
Yatosha Kwa sasa.