Dodoso: Tatizo la Tanzania sio CCM

Niachangia na mm

Mali na burkinafaso na nchi zingine za kimagharib ya Africa wengi wao siyo waoga lkn bado Hali zao Ni mbaya sna kuliko sisi je uoga gani unausema mnk kwa Africa Kuna miamba amabyo hawataki ujinga ila mambo yao yamedoda
Wananchi wa hayo mataifa ni mara ngapi wameonesha kulikataa jinamizi linalo itwa uoga ? Au wao haliwa tesi ?
 

Uko sahihi kabisa, nimesema zaidi ya mara moja humu, maridhiano, sijui miafaka ni kupotezeana tu muda. Machafuko pekee ndio yataleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii.
 
Uko sahihi kabisa, nimesema zaidi ya mara moja humu, maridhiano, sijui miafaka ni kupotezeana tu muda. Machafuko pekee ndio yataleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii.
Sahihi.CCM wanafanya uhalifu makusudi halafu baadaye wanajidai wanaomba maridhiano.Huo ni ujinga na utapeli.Kwa makusudi unaua,unawapa vilema,unapiga,unatesa nk ili uridhiane baadaye?
 
Nendeni mkachinjanie huko huko mlipotoka, hpa tanzania tuacheni na amani yetu inatutosha
 
Uko sahihi kabisa, nimesema zaidi ya mara moja humu, maridhiano, sijui miafaka ni kupotezeana tu muda. Machafuko pekee ndio yataleta mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii.
Hakika kuna njia na aina ya siasa ni manufaa kwa watawala dhidi ya watawaliwa miongoni ni hizi siasa za sasa ziitwazo siasa za maridhiano, siasa na harakati mfano azi fanyazo Lissu ni chukizo kwa watawala. kwa kuwa siasa za maridhiano ni siasa zenye chembe nyingi sana za uoga ndani yake dhidi ya watawala lakini siasa azifanyazo Lissu zina kataa hii kasumba ya uoga wa kudai haki bali zina tambua njia ya mapambano ya kujitoa mwili na roho ili kudai haki yako na hii ndio aina ya siasa inayo paswa kuwepo hapa nchini ili kuzika ili jinamizi la uoga linalo pelekea sisi kuwa masikini mpaka sasa kwa kuendelea kuogopa mamlaka katika kudai mageuzi ya taifa hili.
 
Hoja nzuri, labda tuombe uzoefu kutoka jirani zetu Kenya. Naona kilichobaki ni kudai kwa nguvu.
Hakika kwa asilimia zaidi ya 90% njia za kubembelezana katika kudai kilicho bora kwa watawala zimekwisha fail kilicho baki kwetu sisi watawaliwa ni kutumia njia ya kuzika uoga wetu katika kudai haki ya mageuzi ya taifa letu sasa tunapaswa kuidai bila kubembelezana na watawala.
 
Yaani unajaribu kutuaminisha kuwa Malaria haisabishwi na Mbu jike aina ya anopheles bali ni uzembe wetu wa kutofukia madimbwi ya maji yaliyotuama na kufyeka vichaka!
CCM ni janga la Taifa!
 
Hakika, hauwezi fanya maridhiano na mtu muuaji. maridhiano ni uoga wa kudai haki yako.

Maridhiano ya kweli huwa yanafanyika kila mtu akiwa ama ana plasta, kavunjika mguu, ama hana jicho. Lakini maridhiano na mtu aliyekupora kila kitu ili atawale bila pressure, huo ni utapeli wa kijinga. Maridhiano ya aina hiyo ambayo mtawala anakupa atakacho na sio kitakiwacho, ni dalili ya uoga kwa anayekandamizwa.
 
Kweli kabisa mkuu, uoga wa kudai haki zetu hupelekea sisi kujinyenyekeza kwa watawala hata kama wana tuumiza na kujinyenyekeza huko kume vishwa shela lihitwalo maridhiano .
 
Amani inayo zalisha uoga na umasikini kila uchwao hilo ni jipu lina paswa kutumbuliwa .
Mkuu nipo kenya kikazi, ninayoyaona hapa
Yaani tumshkuru mungu tz tuko vizuri kila nyanja, kuanzia mfumuko, huduma, amani, uzalendo na kadhalika na kadhalika, sio 100% perfect lakini ni nafuu kuliko popote utakapowaza si afrika, ulaya wala us
Si mafuta, chakula, dawa, matibabu na hata usafiri, atayepinga na aje kenya atashuhudia mwenyewe, jamaa wako rough kila eneo,
Hongera sana mama samia na ccm
 
CCM Sio Tatizo Bali ccm ni laana kwa watanzania.
Pili Tatizo ni Muungano.
 
Hakuna unafuu kwenye dimbwi la umasikini na hatupaswi hata kidogo kujilinganisha na masikini mwenzetu huyo Kenya tunapaswa kuliwazia taifa letu hali ya juu ya kimaisha na sio kuu furahia huu umasikini.
 
Naunga mkono hoja kwa 100%. Tatizo kuu la Msingi kwa sisi Watanzania ni UOGA uliokithiri.
Hata hivyo sijui ni nani katuambukiza uoga huu.
Laiti tungekuwa na umoja, ujasiri na uzalendo halisi, haya mauza uza yanayofanywa na Viongozi wetu yasingekuwepo kabisa.

Lakini ipo siku UOGA wote utakwisha.
Mabadiliko yakifika huwa hayana kizuizi.
Mungu mkubwa.
 
Kweli kabisa mkuu, uoga wa kudai haki zetu hupelekea sisi kujinyenyekeza kwa watawala hata kama wana tuumiza na kujinyenyekeza huko kume vishwa shela lihitwalo maridhiano .

Nimewapuuza sana uongozi wa CDM kuingia kwenye huo utapeli uitwao maridhiano. Yaani utapeli wa wazi wanashindwa kuuona?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…