MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
hahahahaha nyamayao eti mambo babake lol yaani wewe utakuwa umezaliwa ocean road umekulia kariakoo yaani mtoto wa mjini lol
hata mie huwa sielewegi kabisa masuala ya kuamkiana loo sasa hapo ni mume mdogo anatakiwa amwamkie mama (pamoja na kuwa anweza akawa anamliza kama mtoto mdogo nyakati flani afu asubuhi shikamoo wife lol Kwa kweli it doesnt come come
Hujapewa taraka 3 bado? Lazima upige na goti shikamoo maulana mume wangu teh teh teh teh
Mbele ya upendo/mapenzi age does not matter at all! Hapo yote yanagota. Hakuna cha umri wala rangi wala kabila wala lugha wala tofauti ya vipato wala nini! Namkumbuka sana mwanamziki Samba mapangala aliyeimba wimbo wa kusifia mapendo kwamba hayana ubaguzi. Na hakika! Yote mengine yanajua kubagua lakini si mapenzi. Kumbe mi namshauri jamaa a-charge tu kumchukua mtoto.
Tena huyo wa umri mkubwa kidogo atamtunza vizuri. Wakubwa wanajua kulea vilivyo. Cha maana ampende kwa pendo la dhati na kumheshimu.
Formula ya mke wa kuoa
Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.
Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 23!
Thats the proper age.
Masanja,
4 years haina shida. The only thing ni mwanamke anapofika menopause, mwanaume ataanza kutafuta nyumba dogo. Hiyo ndo sababu niliyoiona ya wanaume kuoa wanawake wenye umri mdogo zaidi.
mtu wangu hii formula yako imetulia si kawaida.You are a real mathemathicianFormula ya mke wa kuoa
Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.
Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!
Thats the proper age.
Masanja,
Formula ya mke wa kuoa
Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.
Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!
Thats the proper age.
Masanja,
Tuangalie na upande mwingine wa shilingi. Wanaume wanaooa wanawake wadogo sana kuliko wao, wengi wanakufa kabla ya wake zao hasa kama kifo ni cha uzee. Nazungumza hivi kutokana na experience. Kumbe unakuta wanawake wengi wajane katika nyumba zao. Wanawake wanazeeka haraka (sura ya nje/urembo) lakini wanaishi miaka mingi kuliko wanaume wao.Masanja uko sahihi kabisa,
Sijuhi zaidi kuhusu formula yako,lakini katika maisha ya kawaida...wanawake wanazeeka haraka zaidi kulinganisa na wanaume....Wazee wa zamani walipokuwa wakifikisha 50's,wanaoa vibinti ili,kwanza aendelee kupata fleva ya kungonoa,lakini pia yeye na kibibi chake wapate wa kuwahudumia.
Therefore age matters....Mwanamme awe na umri mkubwa kidogo kuliko mama...itapendeza zaidi.
A female colleague of mine wants to marry a guy 4 years younger than her. I was tying to figure out: Can it Work?
Formula ya mke wa kuoa
Umri wako gawanya kwa mbili ongeza saba. Umri utakaopata ndo umri mke wako anatakiwa kuwa nao.
Mfano una 30 gawa kwa mbili unapata 15 then ongeza saba unapata 22!
Thats the proper age.
Masanja,
Mkuu kume unaikumbuka...bado?Toka nimeiweka.
Regards