Does age matter?

Does age matter?

itt doesn't really matter!just a number
 
Ohoo, hii mada ni nzuri sana imenivutia, nilitegemea ningesoma mitazamo yenye hoja ila bado sijona mdau ambaye ametoa facts zenye nguvu ya kutetea upande wowote. Nlidhani labda kuna mdau angeweza kutetea upande mmoja mfano kama age doesnt matter angekuja na sababu ambazo zinafanya isiwe ni ishu ya kujali kuanzia kibaiolojia, kisaikolijia inakuwa vipi, kimaumbile pia na kiafya kwa ujumla mfano ki-uzazi, genetically etc Na kama it matters angetueleza ni kwa namna gani labda ikiwa mnapishana sana kuna kuwa na mapungufu yapi katika nyanja tofautitofuati kama niilivoziainisha hapo juu.
Kuna wakati nilipokuwa nasoma O level, mwalimu wa biolojia alitoa mada kuwa genetically mwanamke ni strong kuliko mwanaume, na uzeeni mwanamume anawahi zaidi kuchoka kuliko mwanaume. Sijui kuna mdau anayeweza kusaidia katika hili kama lina ukweli? na kam lina ukweli ni kwa namna gani?
Hujaeleweka vizuri ni nani anawahi kuchoka?
 
Ulichosema ni kweli. kasoro hapo mwisho ndo umeshinda kueleweka...
Na mimi ningependa kuona facts zaidi badala ya maoni. Kwangu mimi binafsi sababu kuu niliyoiona kibilogia ni jinsi sexaully, mwanamke anazeeka upesi. Yani ile ability kuzaa inapoisha through menopause. Mara nyingi hapa ndipo hali inakua ngumu kidogo maana mwanaume anabaki na nguvu/hamu huku mwanamke anakuwa hataki, au hata ile rate inapungua. Basi kutokana na hili swala, inakuwa vizuri mwanaume amwoe mwanamke mdogo kwa kusudi bialogical clocks zao ziendane zaidi.
 
Back
Top Bottom