Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hujaeleweka vizuri ni nani anawahi kuchoka?Ohoo, hii mada ni nzuri sana imenivutia, nilitegemea ningesoma mitazamo yenye hoja ila bado sijona mdau ambaye ametoa facts zenye nguvu ya kutetea upande wowote. Nlidhani labda kuna mdau angeweza kutetea upande mmoja mfano kama age doesnt matter angekuja na sababu ambazo zinafanya isiwe ni ishu ya kujali kuanzia kibaiolojia, kisaikolijia inakuwa vipi, kimaumbile pia na kiafya kwa ujumla mfano ki-uzazi, genetically etc Na kama it matters angetueleza ni kwa namna gani labda ikiwa mnapishana sana kuna kuwa na mapungufu yapi katika nyanja tofautitofuati kama niilivoziainisha hapo juu.
Kuna wakati nilipokuwa nasoma O level, mwalimu wa biolojia alitoa mada kuwa genetically mwanamke ni strong kuliko mwanaume, na uzeeni mwanamume anawahi zaidi kuchoka kuliko mwanaume. Sijui kuna mdau anayeweza kusaidia katika hili kama lina ukweli? na kam lina ukweli ni kwa namna gani?
Ohoo, hii mada ni nzuri sana imenivutia, nilitegemea ningesoma mitazamo yenye hoja ila bado sijona mdau ambaye ametoa facts zenye nguvu ya kutetea upande wowote. Nlidhani labda kuna mdau angeweza kutetea upande mmoja mfano kama age doesnt matter angekuja na sababu ambazo zinafanya isiwe ni ishu ya kujali kuanzia kibaiolojia, kisaikolijia inakuwa vipi, kimaumbile pia na kiafya kwa ujumla mfano ki-uzazi, genetically etc Na kama it matters angetueleza ni kwa namna gani labda ikiwa mnapishana sana kuna kuwa na mapungufu yapi katika nyanja tofautitofuati kama niilivoziainisha hapo juu.