Does anyone has an idea about getting a phone call from international codes?

Does anyone has an idea about getting a phone call from international codes?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Posts
4,493
Reaction score
5,591
Kizungu cha kibongo ,

etii jameni au kwa maelezo zaidi oneni attachment
Screenshot_20231021-164702.jpg

Habari zenu wana jamii forums?
 
Mbona kawaida sana hiyo. Na moja ya juu umesha andikiwa ni Congo kinshasa ya chini andika Google itakwambia ni Code ya wapi..

Anyways sema shida yako ni nini hapo labda?
Kufahamu the reason why afu ni missed call naona yaaani simu inaita kwa sekunde 1 then inakata , isije kuwa wasiojulikana wananitafuta....
 
Kufahamu the reason why afu ni missed call naona yaaani simu inaita kwa sekunde 1 then inakata , isije kuwa wasiojulikana wananitafuta....
Yani hata mimi huwa napata simu kama hizi zina code za rwanda na burundi. Na huwa nikicall naambiwa hizo namba hazipo
 
Ahaa basi nimejua ni scam phone call
 
Back
Top Bottom