Does Dar Es Slum city have any parks and recreation areas?

Dar es salaam hakuna Natural Public Park bwana tuache siasa, hizo zote ni sehemu za watu za kibiashara na ambazo za umma kama hapo posta ya zamani ni finyu plus majengo tu mengi,
 
you are embarassing us even more chief.....why do you keep posting beaches and hotels!!!!

au mimi ndio mshamba hapa?

unajua maana ya park?
Have u been to Mikadi beach? Who told u a park or recreation area should not have a restaurant? Get the meaning of public places, greenparks, zoo/ wildlife parks, botanical gardens, marine parks n amusement parks, water parks, beach parks, community parks recreation areas before jumping into arguments!
 
Mikadi beach is it also a park?
 
Safi sana mkuu kwa mchango wako..
Ukweli ni kama hatuna! Which is a shame, tunayo ardhi na maeneo ya kutosha, ila kwetu "creativity/inventions and taking advantages of opportunities/exploiting them legally" ni kama shida kwetu, yawezekana sababu ya mfumo wa elimu yetu ya kukariri, humu humu ukiweka link tu mtu aifunguwe atalalamika kwanini huku paste habari yote!
Ni wavivu wa kufikiri na kupenda kutafuniwa kila habari, nafasi n.k.
Angalia kama pale mnazi mmoja, mjini (waterfront), boardwalk ya Indian Ocean, Coco Beach strip, Gymkhana yote, Salander Bridge, Biafra n.k. n.k.
Kwanza empty spaces zote zilizotengwa na masterplan ni either watu walijenga makazi au CCM wameweka parking za magari na frames za maduka kama siyo ma garages!
Ukipita hata Mbezi Beach, kuna sehemu inaitwa "madongoni", sijaulizia vizuri, ila I am pretty sure the "City Fathers" waliipanga hiyo sehemu iwe open na kuweza kufanya a "recreational center"..
Bado kukaa maofisini kwa Halmashauri na Manispaa zetu, hawatoki kuhoji na kufanya mikakati hizi sehemu zitumike ipasavyo, safari bado ndefu ila naamini wakipita humu watapata mawazo yako na ya wengine..🙁😡😕
 
there is a huge difference btn a natural park and an artificial one, wet n wild its not natural,

mimi niliwahi kuwaza inakujae Dar es salaam hakuna "Natural Public Park"

nimeipenda hiyo ya kenya "Uhuru Park"
What do you mean the word " Natural Public Park"!?
 
there is a huge difference btn a natural park and an artificial one, wet n wild its not natural,

mimi niliwahi kuwaza inakujae Dar es salaam hakuna "Natural Public Park"

nimeipenda hiyo ya kenya "Uhuru Park"
Mkuu Uhuru Park ina historia ya maana sana nyuma yake. Mwendazake Mama Wangari Maathai aliongoza vikundi vya kina mama wakakesha na kufunga hapo bustani ya Uhuru kwa karibia wiki tatu, wakipinga utawala wa kimabavu wa rais mstaafu Arap Moi. Walikataa kuondoka hapo hadi watoto wao, ambao walikuwa wafungwa wa kisiasa, waachiliwe huru. Moi alipojaribu kuwafurusha kwa lazima kina mama wote walivua nguo, jambo ambalo ni laana kubwa kiafrika.
 
Na Mnazi mmoja haina historia? BTW u r supposed to ignore us!
 
Na Mnazi mmoja haina historia? BTW u r supposed to ignore us!
Ignore US? Nadhani unamaanisha ignore YOU. Upuuzi wako hutazuia tujadili au hata kubishana kiheshima na watanzania ambao wana akili zao? Wao wenyewe wanakukashifu kwa pumba zako kwenye uzi huu. O.P kwenye uzi huu ni Nairoberry, rudi kwenye zile nyuzi zako hojaless. Utajiju mwenyewe mzee.
 
Aise hili ni povu sasa.
 
wise man
 
The case is also true that Nairobi will never have BRT! You have tried your level best in vain.

With the money and government commitment, we can build a BRT in 6 months.
How long can it take you to build an 'Uhuru park'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…