Safi sana mkuu kwa mchango wako..
Ukweli ni kama hatuna! Which is a shame, tunayo ardhi na maeneo ya kutosha, ila kwetu "creativity/inventions and taking advantages of opportunities/exploiting them legally" ni kama shida kwetu, yawezekana sababu ya mfumo wa elimu yetu ya kukariri, humu humu ukiweka link tu mtu aifunguwe atalalamika kwanini huku paste habari yote!
Ni wavivu wa kufikiri na kupenda kutafuniwa kila habari, nafasi n.k.
Angalia kama pale mnazi mmoja, mjini (waterfront), boardwalk ya Indian Ocean, Coco Beach strip, Gymkhana yote, Salander Bridge, Biafra n.k. n.k.
Kwanza empty spaces zote zilizotengwa na masterplan ni either watu walijenga makazi au CCM wameweka parking za magari na frames za maduka kama siyo ma garages!
Ukipita hata Mbezi Beach, kuna sehemu inaitwa "madongoni", sijaulizia vizuri, ila I am pretty sure the "City Fathers" waliipanga hiyo sehemu iwe open na kuweza kufanya a "recreational center"..
Bado kukaa maofisini kwa Halmashauri na Manispaa zetu, hawatoki kuhoji na kufanya mikakati hizi sehemu zitumike ipasavyo, safari bado ndefu ila naamini wakipita humu watapata mawazo yako na ya wengine..🙁😡😕