Dogo akaja mikono mitupu!

Dogo akaja mikono mitupu!

sipati picha huyo mchuchu baada ya kujua anakulaga vya dogo alinyweaje??
mustakabali wa malove yenu ulikuwaje baada ya varangati hilo.........???

naamin ulichika...................
 
Hahahaha umetubania lakin umbea si kazi kusutwa ndo shuhuli lol
 
another great funny stori kutoka kwa great storyteller wa mmu, bigup Mtambuzi afu kumbe we mdooogo mi niliijua mdingi kabisa khaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
nimecheka paka mbavu zinauma...pole sana mkuu,watu mmetoka mbali sana....
 
Back
Top Bottom