Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

Dogo ana miaka 17 tu tayari ana maisha mazuri na mpenzi

Watoto wa kibrazili hao, hayo ni mambo ya kawaida...tofauti ya mtoto wa kibrazili na Kinondoni ni moja, mtoto wa kibrazili atafanya uchafu wote lakini mpaka kieleweke tofauti na wa Kinondoni akipata laki ngapi zake anapumzika kutafuta.
 
Kwa hiyo maisha mazuri kwako ni kupiga picha kwenye maji na mwanamke mweupe kama huyo jamaa?
 
Tuseme huku kwetu hii ya kusema mtu wa miaka 17 bado ni mtoto (under age) inatokana na umasikini wa huyo under age mwenyewe? 😆🤣
 
Back
Top Bottom