Dogo Aslay is the Best Bongo flava artist

Sawa tumekuelewa...ila umekosea kujisifia mwenyewe
 
Hivi jina lake kamili ni nani?
 
Promo zngne hata kwa umeme hazpand
 
Ngoma za uyu dogo anazo achia bila shaka ,Dogo Aslay ni best Bongo flava artists
Kweli wewe ni Askari muoga!! Yaani umeacha kazi yako ya uaskari umejikita kufuatilia vitoto vikiimba imba?!!
 
Eti Huwa namuelewa vizuri sna nikiwa nimetia vitu vyangu kichwani!!!
 
Mi nakumbuka tu naenda kusema kwa mama, eti kistobe baba umemnunulia kuku,nyumbani mama umemuachia buku. Huyo dogo hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…