Dogo Aslay is the Best Bongo flava artist

Dogo Aslay is the Best Bongo flava artist

Iko ngoma moja MUHUDUMU naikubali mbaya iko poa mbaya
 
Wimbo wake wa samahani mhudumu ongeza glass, mimi naupenda sana.
 
Binafsi nazielewa sana ngoma zake kama hiyo ya Mhudumu na Danga zimetulia saana
 
Nashangaa ngoma zake kali kama Mama na Mhudumu zinatrend sana U-Tube na zina views za kutosha ila kwenye redio sizisikii kivile, au ndo Fella ameshaanza fitna zake? Dogo mkali sana akisimamiwa vizuri kama solo atafika mbali
 
Ali wa Leo yupo south ameomba Watu wanaoishi nchini wamuombee dua ili aibuke. Kasema amepotea sana kwa sababu ya maadui walioakilini mwake sasa amewatoa.

Amesema ametunga wimbo wake atautoa. Ali alikuwa na mapepo na sasa yamepona. Hii ni kwa mujibu wake mwenyewe juu ya maadui waliokuwa mwilini mwake.
 
Mie ule wimbo wa Kidawa wa Aslay huwa unaniacha hoi!
Penda sana huyo dogo!
Kidawa,kidawa kidawa..,
 
Mcheki hapa chini kwenye hii video cover ya wimbo wa Kidawa!
 
Back
Top Bottom