Dogo Aslay ndio alikuwa mbadala wa Diamond kwenye bongofleva. Ila kwa nini anachukuliwa poa hivi?

Dogo Aslay ndio alikuwa mbadala wa Diamond kwenye bongofleva. Ila kwa nini anachukuliwa poa hivi?

Mnapenda almasi apotee alafu akishapotea nyie mtafaidika na nini?

Na akiwa juu nyie mnapungukiwa na nini?

Wabongo tuacheni chuki kisa mafanikio ya mtu tufanyeni kazi tufanikiwe na sisi.
 
Back
Top Bottom