Innocent Kirumbuyo JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 4,641 Reaction score 4,457 Jul 3, 2022 #21 pwilo said: Dogo asubiri kuokota makopo kagombana na miungu wa muziki Tanzania Ila kusimama mwenyewe anaweza lakini fela, tale hawatakubaliana na hilo Click to expand... Atimaye dogo yupo kusikojulikana
pwilo said: Dogo asubiri kuokota makopo kagombana na miungu wa muziki Tanzania Ila kusimama mwenyewe anaweza lakini fela, tale hawatakubaliana na hilo Click to expand... Atimaye dogo yupo kusikojulikana
Plan Master JF-Expert Member Joined Jan 1, 2021 Posts 2,188 Reaction score 3,762 Jul 3, 2022 #22 Mnapenda almasi apotee alafu akishapotea nyie mtafaidika na nini? Na akiwa juu nyie mnapungukiwa na nini? Wabongo tuacheni chuki kisa mafanikio ya mtu tufanyeni kazi tufanikiwe na sisi.
Mnapenda almasi apotee alafu akishapotea nyie mtafaidika na nini? Na akiwa juu nyie mnapungukiwa na nini? Wabongo tuacheni chuki kisa mafanikio ya mtu tufanyeni kazi tufanikiwe na sisi.