Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
Apumzike kwa amani kifo cha uzazi kinaumiza sana.Tena kaacha mtoto mdogo alifariki wakati wa kujifungua "umaarufu kweli kazi"
kedrick acha bangi kumbe ulikuwa hujui kama wapo wcb sasa na diamond ni miongoni mwa mamenagers wa wale madogo mpaka video ya "cheza kwa madoido kalipa yeye" na kama hujui hata ww ni wcb jiandae kwa kafara pumbavu kabisa wa nne chapSasa yamoto band wapo wcb hamna point acha kuunganisha matukio yasio lingana
Kumbe bibie zari naye ana hayo mambo ya gizani asije tu akawamaliza kina domo sasa ebo.Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuu
Toka zari aje pale wa nne wameshaenda na maji hatukatai sawa ni kifo ila "mungu anajua zaidi"Kumbe bibie zari naye ana hayo mambo ya gizani asije tu akawamaliza kina domo sasa ebo.
kedrick acha bangi kumbe ulikuwa hujui kama wapo wcb sasa na diamond ni miongoni mwa mamenagers wa wale madogo mpaka video ya "cheza kwa madoido kalipa yeye" na kama hujui hata ww ni wcb jiandae kwa kafara pumbavu kabisa wa nne chap
Haha na yeye pia ni manager ye analipa pesa ya video then wanakata kwenye show hata chambuso pia au umemsahauNaona bangi time zimeshakuchanganya utatoa udenda km king kiba yamoto band is under said fella tu, wcb is under diamond, na diamond is under said fella, salim, na babu tale
Haha na yeye pia ni manager ye analipa pesa ya video then wanakata kwenye show hata chambuso pia au umemsahau
Haha poa yaishe tunatoka nje ya mada maana ila umepata somo kidogoOnyesha picha ya diamond akiwa katika ilo kanisa kama kibakuli alivyokamatwa Ana mwaga udenda
I dont care ..huyu si ndio alikuwa jangwani anapigia kampeni ccm huyu...
Watu wote wangechukulia siasa tena za kampeni kama unavyochukulia wewe basi watu wasingesemeshana...Kumbe Mkapa alikuwa sahihi