Kumbe bibie zari naye ana hayo mambo ya gizani asije tu akawamaliza kina domo sasa ebo.
Kwani domo si anajitakia mwenyewe. .wale madogo wa yamoto band..wajichomoe kwa domo..kama kikongwe zari ndo zake..wataisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe bibie zari naye ana hayo mambo ya gizani asije tu akawamaliza kina domo sasa ebo.
Jana nilimuona tmk hosptal huyo dogo alikuwa km kachanganyikiwa kumbe bi mkubwa alikuwa mgonjwa inna llilah wainna ilaihi raajiun
Atajiju....Ccm walishindwa kumpeleka mama yake India?so alikuwa anawakatikia siku ya uzinduzi
kedrick acha bangi kumbe ulikuwa hujui kama wapo wcb sasa na diamond ni miongoni mwa mamenagers wa wale madogo mpaka video ya "cheza kwa madoido kalipa yeye" na kama hujui hata ww ni wcb jiandae kwa kafara pumbavu kabisa wa nne chap
What the hell..!! Wewe ni mtu kweli??
Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuu
View attachment 286586
Soma hapo lisemwalo lipo
Haha ipo siku utaelewa we si una mahaba niuwe lala usiku huu ntakupa info kesho sawa Kimbley povu lote hiloBado hujajibu hoja!umemsema Zari kua ndio anawamaliza hawa watu kwa ushirikina kana kwamba unaushahidi rasmi!
Huoni kama unajivika cheo cha Mungu cha kujua yaliyojificha?!
Mawazo mgando kama haya hayastahili kukaa kwenye kichwa chako,Ya Moto Band haiusiani na WCB,urafiki ni wa Tale na Fella tu,WCB ni ya Diamond Platnum
Haha ipo siku utaelewa we si una mahaba niuwe lala usiku huu ntakupa info kesho sawa Kimbley povu lote hilo