Dogo Asley afiwa na mama yake mzazi

Kumbe bibie zari naye ana hayo mambo ya gizani asije tu akawamaliza kina domo sasa ebo.

Kwani domo si anajitakia mwenyewe. .wale madogo wa yamoto band..wajichomoe kwa domo..kama kikongwe zari ndo zake..wataisha!
 
Jana nilimuona tmk hosptal huyo dogo alikuwa km kachanganyikiwa kumbe bi mkubwa alikuwa mgonjwa inna llilah wainna ilaihi raajiun

Ccm nao walikuwepo?
 
kedrick acha bangi kumbe ulikuwa hujui kama wapo wcb sasa na diamond ni miongoni mwa mamenagers wa wale madogo mpaka video ya "cheza kwa madoido kalipa yeye" na kama hujui hata ww ni wcb jiandae kwa kafara pumbavu kabisa wa nne chap

Ni kwamba unataka kutuaminisha vifo hvi ni sadaka ya kishetani!??
 
Last edited by a moderator:
Ndio waache kuikashifu afya ya Lowassa,bado dimondo
 
Pole dogo kwa kumpoteza mama
 
Sijakata haya mambo nasikia ndo yalimfanya ivan aachane na zari nasikia yule demu ni mshirikina balaaa alitaka kuimaliza familia ya ivan ndo wakatemana sasa mumemleta wcb kashakula wa nne faster duuu

Pwilo ndugu yangu chunguza kauli zako hizi,Tuhuma hizi ni nzito sana unazozituhumu,umekwenda mbali mnooo!!
 
View attachment 286586
Soma hapo lisemwalo lipo

Bado hujajibu hoja!umemsema Zari kua ndio anawamaliza hawa watu kwa ushirikina kana kwamba unaushahidi rasmi!
Huoni kama unajivika cheo cha Mungu cha kujua yaliyojificha?!

Mawazo mgando kama haya hayastahili kukaa kwenye kichwa chako,Ya Moto Band haiusiani na WCB,urafiki ni wa Tale na Fella tu,WCB ni ya Diamond Platnum
 
Haha ipo siku utaelewa we si una mahaba niuwe lala usiku huu ntakupa info kesho sawa Kimbley povu lote hilo
 
Last edited by a moderator:
Haha ipo siku utaelewa we si una mahaba niuwe lala usiku huu ntakupa info kesho sawa Kimbley povu lote hilo

Wala sio Povu Pwilo,ila nimeshangazwa na wewe kua na imani kama hizi tena Kwa Zari?!
Kauli hizi ni za kuchungwa sana hasa linapokuja suala la kifo!Vipi kama Dogo Aslay ni member JF,akijakusoma hii ishu yako unadhani atajenga taswira gani kwenye moyo wake?!

Usiku mwema pwilo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…