DOGO ASLEY ANAJUA na NI MOTO WA KUOTEA MBALI!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,404
Habari vp wana bongo!
JAMANI!! kuna hiki kipaji kingine ADIMU
NI DOGO ASLEY!!
NI bado kijana mdogo lakini anavyocheza na sauti na mbwembwe ni kama mutu ya BAKONGO!
...ebu sikia KIPATE HIKI cha wombo wa NITAJUTA AU NIBEMENDE.
.....NIBEMENDE NIPELEMBE.........skendo mpya NATOKA NA MZUNGU!!MKUBWA FELAAAA!BAB TALE!!!
KWANZA MUNGU amemjalia yupo presentable na mwenye kipaji cha hali ya juu!
ENYI MAPROMOTA WA KIMATAIFA MUONENI MTOTO HUYU....kwani ni NEXT LEVEL......MANA mziki ile burdan,kucheza na sauti na ile mirindimo......much respect dogo you deserve more than that!
 
Kanazidisha sana kubana pua tena kanabana na kulegeza midomo na macho!..mungu mnusuru kijana huyu asije kuingia kule kwa kina kadinda!
 
mdau ulijuaje huyu mtoto anajitahidi sana..naona kwenye bendi anafit sana..YA MOTO BAND OYEE
 
Kanazidisha sana kubana pua tena kanabana na kulegeza midomo na macho!..mungu mnusuru kijana huyu asije kuingia kule kwa kina kadinda!

Wewe ni mtanzania halisi....

Watz yao majungu na kukatishana tamaa...
 
Ila Moromboso anakuwa kama anamfunika hivi Aslay..rejea kwenye sauti,from Ya moto na hii Nitajuta
 
Dah dogo naye ni shida ingine Kiba nae nimesikiliza mwimbo wake ni shida Almasi ndo usiseme kiukweli watz tuko juu kwa sasa hizi bifu ndo zitakuja kutuharibia mama wa Bela nao uko juu
 
Kanazidisha sana kubana pua tena kanabana na kulegeza midomo na macho!..mungu mnusuru kijana huyu asije kuingia kule kwa kina kadinda!

sio bure WEWE nakuhakikishia wewe ndo mwenye TABIA hiyo....kwanza kwa nini umuwazie hayo mtoto wa mwanamke mwenzio amekukosea nini ninyi ndo nchi kama CHINA mnapigwa SHABA MKAFIE mbali!!
 
Ila Moromboso anakuwa kama anamfunika hivi Aslay..rejea kwenye sauti,from Ya moto na hii Nitajuta

ngoja na huyo nimsikilize vizuri ndo niwafananishe mana kucoment bila ushahidi ni dhambi...huenda wapo sawa au kutofautiana.
 
Huyu dogo me namkubali sana, anajua

yaani natamani ningekuwa na mipesa mingi mingi nimpromote kimataifa au kama hapa jf ingewezekana tufanye harambee afike kimataifa naona huko alipo kama atafifia jamani.......
ACHANA NAO WANAOPIKA MAJUNGU.....SKENDO MPYA NATOKA NA MZUNGU...BAKI NA MIMIMIMI WENGINE WA NINNI..NAOGOPA MARADHI NDO MANA NIPO MAKINI MIMI...ACHANA NAO WANAOPIKA MAJUNGU.....jamani NICE WORK!
 
mdau ulijuaje huyu mtoto anajitahidi sana..naona kwenye bendi anafit sana..YA MOTO BAND OYEE

YAANI tuwaombee wafike mbali DOGO ASLEY ni NOUMEER na vile alivyo sasa AKIKUWA ANAWEZA akawa kama kofi OLOMIDE YULE SIO SIRI.....watu naona hawajausikiliza huu wimbo hakuna cha mdogomdogo wala mwanadalisalamu hapa...
 
Anajitahidi sana kinachotakiwa awe na nidhamu ya kazi lakini pia ajiepushe na haya yanayoitwa mabifu yatampoteza, lakini na wasiwasi na management yake maana sisi wabongo bwana wengi wetu huwa tunaangalia matumbo yetu kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…