Micro E coli JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 938 Reaction score 192 Jul 29, 2014 #21 Management yake ikoje huyu dogo? hapo ndio tatizo.
Heloo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,391 Reaction score 3,404 Jul 29, 2014 Thread starter #22 kweli kutakuwa na tatizo sio bure kabisa kipaji hakijionyeshi kiviile....mana inatakiwa aanze kutoka hata nje
kweli kutakuwa na tatizo sio bure kabisa kipaji hakijionyeshi kiviile....mana inatakiwa aanze kutoka hata nje
Heloo JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,391 Reaction score 3,404 Jul 29, 2014 Thread starter #23 collycool said: Anajitahidi sana kinachotakiwa awe na nidhamu ya kazi lakini pia ajiepushe na haya yanayoitwa mabifu yatampoteza, lakini na wasiwasi na management yake maana sisi wabongo bwana wengi wetu huwa tunaangalia matumbo yetu kwanza Click to expand... SASA wewe kama mdau unashauri tumsaidieje ili walau afikie kwa akina KIBA NA DIOMOND?bado hajachelewa ushauri ataupata tu!
collycool said: Anajitahidi sana kinachotakiwa awe na nidhamu ya kazi lakini pia ajiepushe na haya yanayoitwa mabifu yatampoteza, lakini na wasiwasi na management yake maana sisi wabongo bwana wengi wetu huwa tunaangalia matumbo yetu kwanza Click to expand... SASA wewe kama mdau unashauri tumsaidieje ili walau afikie kwa akina KIBA NA DIOMOND?bado hajachelewa ushauri ataupata tu!
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,951 Jul 29, 2014 #24 Micro E coli said: Management yake ikoje huyu dogo? hapo ndio tatizo. Click to expand... Meneja wake ni mzee wa fitna bwana kitambi mfuga ndege tunduni...
Micro E coli said: Management yake ikoje huyu dogo? hapo ndio tatizo. Click to expand... Meneja wake ni mzee wa fitna bwana kitambi mfuga ndege tunduni...