Tecno ni nini?? C tunawajua akina CHINDO MAN, JCB, PACHA, NAKO TO NAKO, CHALII JAMBO, PAPAA MAFIDO, FID Q.Jamen huyo si tekno?
Usiiseme kinondoni vibaya tafadhaliChalii wangu wewe ni KINJE, James kwako anasubiri miaka Mia! Nyie ndo mnaleta ukame Tanzania. Nkija Dar ntakutafta niingie "HUKO" na pakti yangu ya embassy nkae wiki. Lazima unakaa KINONDONI WW [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Mi nilijua ni wewe,maana huyoo dada namfahamu!Wakuu mbona mnatoa komenti zisizoeleweka,hiyo ni avatar tuu
Unaweza shangaa Dogo akang'oa wadada humu na akagombaniwa, na hv wanapenda wa aina hyUnatafuta wakukufanya kibenten sio buree !!!
nimekuzimikia,nimekufiafiaVp madam