DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

Chalii wangu wewe ni KINJE, James kwako anasubiri miaka Mia! Nyie ndo mnaleta ukame Tanzania. Nkija Dar ntakutafta niingie "HUKO" na pakti yangu ya embassy nkae wiki. Lazima unakaa KINONDONI WW [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Usiiseme kinondoni vibaya tafadhali
 
Dogo unazingua.. Hata wiki 2 hujatimiza humu... Ila usituletee Tena Haya mapichapicha yako.. huku hatuna shobo na picha za mtu
 
Tecno ni nini?? C tunawajua akina CHINDO MAN, JCB, PACHA, NAKO TO NAKO, CHALII JAMBO, PAPAA MAFIDO, FID Q.
Ko unataka kusemaje sasa,acha fujo kijana
 
Back
Top Bottom