DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

DOGO G NI MOTO ISEEY!!!

Nipo full midakika ya kutoosha,nambie bac

Ndio nishamaliza hakuna cha kuongeza...
ile dk 15 zako zimeisha...nilikuwa nakuchokoza...nikimaanisha ulitaka kujulikana sasa ushajulikana....
 
Haha,nilifikiria mbali great thinker.ok madam.usiku mwema kwako.
 
Hii ni JF si kijiji hadi wasijue vinavyoendelea mjini, kiasi kwamba maarufu wasijulikane. Humu wanaenda sambamba na wakati kuliko hata huko facebook na instagram, kuwa makini unapopiga kamba watu wazima. Wameyaona mengi kuliko wewe
 
Sawa mkuu,nimekupata
 
Back
Top Bottom