hashibi vizuri huyo
mpige ugali wa kutosha...atalala hoi na kujamba usiku kucha
above 25 na nimelea sana madogo....umri wako tafadhali....
watoto wasiposhiba wemgine hulia wengine hawapati usingizihilo zoezi la kula huwa nalisimamia mkuu na huwa naridhika,...labda niongeze scale
ukute dada anampa piriton mchana kutwa! mahousegirl hawa tutajibebaje...katoto kanalala toka saa mbili hadi saa moja jioni chezeiya?Mtoto analala masaa mangapi mchana?Na unamlaza time gani usiku?
Anakula chakula chochote kingine kama uji,viazi/mboga za kuponda au anategemea maziwa ya mama tu?
habari wakuu,
naomba msaada ktk hili kwa mwenye utaalam ni hivi mtoto wangu ana miezi 6 sasa shida ni kuwa usiku analala kwa masaa machache sana almost matano afu akiamka halali tena yaani mtatoboa usiku leo ni kama siku ya nne hivi ila halii wala ukimcheki hana shida yeyote anacheza vizuri tu na mnaweza cheza mpaka asubuhi, ila mchana analala vizuri tu kunaweza kuwa na shida jamani, nawasilisha
hashibi vizuri huyo
mpige ugali wa kutosha...atalala hoi na kujamba usiku kucha
Mtoto analala masaa mangapi mchana?Na unamlaza time gani usiku?
Anakula chakula chochote kingine kama uji,viazi/mboga za kuponda au anategemea maziwa ya mama tu?
digestion ya hivi vyakula laini laini ni almost 2 hours! so cheki mlo ila sometimes ni kawaida ...usijisumbue sanaukitoa maziwa anakula cerelac, uji na ndiz huwa zinasagwa kwa blender,
akishaoga asubuhi hupewa chakula na kulazwa so kama akiamka ni kwa kubadili dieper au usingiz umeisha