dogo halali usiku

dogo halali usiku

cjui mimi

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
67
Reaction score
8
habari wakuu,
naomba msaada ktk hili kwa mwenye utaalam ni hivi mtoto wangu ana miezi 6 sasa shida ni kuwa usiku analala kwa masaa machache sana almost matano afu akiamka halali tena yaani mtatoboa usiku leo ni kama siku ya nne hivi ila halii wala ukimcheki hana shida yeyote anacheza vizuri tu na mnaweza cheza mpaka asubuhi, ila mchana analala vizuri tu kunaweza kuwa na shida jamani, nawasilisha
 
hashibi vizuri huyo
mpige ugali wa kutosha...atalala hoi na kujamba usiku kucha
 
Itakuwa kuna vinyago vinamendeamendea usiku,si unajua tena vigagula.com
 
Mtoto analala masaa mangapi mchana?Na unamlaza time gani usiku?
Anakula chakula chochote kingine kama uji,viazi/mboga za kuponda au anategemea maziwa ya mama tu?
 
pia mazingira ya kulala yawe mazuri... apate hewa ...kusiwe na mwanga mkali au majoto au makelele..
 
ukute dada anampa piriton mchana kutwa! mahousegirl hawa tutajibebaje...katoto kanalala toka saa mbili hadi saa moja jioni chezeiya?
 
habari wakuu,
naomba msaada ktk hili kwa mwenye utaalam ni hivi mtoto wangu ana miezi 6 sasa shida ni kuwa usiku analala kwa masaa machache sana almost matano afu akiamka halali tena yaani mtatoboa usiku leo ni kama siku ya nne hivi ila halii wala ukimcheki hana shida yeyote anacheza vizuri tu na mnaweza cheza mpaka asubuhi, ila mchana analala vizuri tu kunaweza kuwa na shida jamani, nawasilisha

haaa haaa haa dogo janja.....kashtukia mnapigana nyoka sana usiku wakati yeye bado anahitaji ma-care!
 
Mtoto analala masaa mangapi mchana?Na unamlaza time gani usiku?
Anakula chakula chochote kingine kama uji,viazi/mboga za kuponda au anategemea maziwa ya mama tu?

ukitoa maziwa anakula cerelac, uji na ndiz huwa zinasagwa kwa blender,
akishaoga asubuhi hupewa chakula na kulazwa so kama akiamka ni kwa kubadili dieper au usingiz umeisha
 
pia mazingira ya kulala yawe mazuri... apate hewa ...kusiwe na mwanga mkali au majoto au makelele..

hakuna kelele mkuu nazingatia hilo tuko watatu tu mimi yeye na mamaake
 
ukitoa maziwa anakula cerelac, uji na ndiz huwa zinasagwa kwa blender,
akishaoga asubuhi hupewa chakula na kulazwa so kama akiamka ni kwa kubadili dieper au usingiz umeisha
digestion ya hivi vyakula laini laini ni almost 2 hours! so cheki mlo ila sometimes ni kawaida ...usijisumbue sana
 
Back
Top Bottom