Dogo Janja abwagwa rasmi,Jamii iwe karibu naye asije akafa

hahahahahahha mbavu zangu mie

duuuh

hujambo lakini?
Hahahaha bora apunguze mwili umodo unamkaa fresh lkn saiv tako limekuwa kama chapati ya kumimina iliyogomea kwenye kikaangio

Mi sijambo mamii
 
Dah Dogo atakufa kweli na vile alikuwa amezoea kulelewa na like jimama afu limemuachia na mkono Wa nyan kama lilivyofanya kwa yule mrwanda
Na afe tu kwa sababu hana faida yoyote afe tu,ili tupunguze mazezeta
 
Nyie wenzetu wenye akili nyingi heb mtuache vilaza sie tuendelee na ukilaza wetu!!
Jamani dunia mbona pana hii kwa nn tunyimane pumzi kwa kubanana kwenye Mambo vya vilaza!!

kwakweli nashawishika kuamini
 
Nyie wenzetu wenye akili nyingi heb mtuache vilaza sie tuendelee na ukilaza wetu!!
Jamani dunia mbona pana hii kwa nn tunyimane pumzi kwa kubanana kwenye Mambo vya vilaza!!
ukinyimwa pumzi utapata hata nafasi ya ku comment hapa"... "'? umetokea wapi aisee mpaka wavamia habari ambayo haikuhusu" maana mimi nilikuwa naongea na mtu mwingine kabisaaa"" halafu hiyo comment yangu hivi umeielewa vyema kweli ""?? au ndio ukilaza wenyewe
 
Mwanamke Yeyote ambaye asilmia 99% anashida Insta kupost picha zake ni Kichomi, Haoleki
 
kwakweli nashawishika kuamini
Amini nakwambia hiyo ni kiki , siku ukijua ukweli uje uanzishe thread humu na unipe credits zangu.


Watanzania ni wanyama wasiojuwa Jana .. Yaani ni manyumbu yanayojiendea endea bila kulinganisha mfululizo Wa matukio kujua ukweli. Kuanzia Dogo janja kuumwa na kupelekwa pale AAR hospital - Sinza ni movie tupu.


Kitu pekee ambacho huwa nakiamini kwa wasanii Wetu ni kufa tu hayo mengine ni 90% movie
 
Hahahaha bora apunguze mwili umodo unamkaa fresh lkn saiv tako limekuwa kama chapati ya kumimina iliyogomea kwenye kikaangio

Mi sijambo mamii
bby wangu kwa maneno loooh

hahahahhahaha haya bhana, mwenyewe anaona sawa nahisi
 
hahaaa eti ni kufa tu
 
khaaaa umechambaaa!
nionee huruma basi kidogo!
ni huu ukilaza tu ndo unionee hivyo!
sio fresh ujue!
 
Just rumours, uwoya jana alikua anastream live kwa IG yuko na hako ka janjaro
 
Uzee mwisho Mlandizi, tena tunausukuma zaidi bado kidogo mpaka unafika Chalinze.

Tunataka kuishi miaka kama ya watu wa Agano la Kale, kwa sasa bado vijana sana..
Kumbe kiaina unaielewa old testament halafu unajifanya kichwa ngumu
 
ukute mleta uzi huu ni baba wa watoto watatu.. duh!
Watu kma nyie very pathetic and fools hivi ni lazm ucoment hata kma unaandika ugoro? Aliekulazimisha kusoma ni nani? Leta mada zako zenye akili tusome sio kuleta mambo ya kike kike hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…